HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
My friend 8 minutes ni muda mrefu sana kama utampa candidate ajieleze based on the above standards. Kupitia maelezo na presentation yake unaweza kujua all of the above skills.

Anyway point ni kuwa MTAZAMO wa usaili ubadilike kulingana na standards za saili zilivyo. Panelist awe na uwezo wa kufanya conversation na msailiwa sio kuinama kusoma swali alafu marking scheme pembeni thats bullshit.

Ukimpokonya karatasi na yeye ukamuuliza anabaki amekodoa hawezi kujibu WHY sababu na yeye mpaka asome japo ni kada yake.
On the contrary uko sahihi my friend, ila sasa dhumuni kuu la saili (wrriten na oral) za psrs nadhan hua ni kupunguza candidates tu.
 
On the contrary uko sahihi my friend, ila sasa dhumuni kuu la saili (wrriten na oral) za psrs nadhan hua ni kupunguza candidates tu.
Kwahiyo dhumuni ni kupunguza watu na sio kuwapelekea watu competent staff ambao wakiwa brush kidogo tuu waendane na mifumo ya taasisi?!
 
Sio taarifa inashangaza bunge kutoa kazi mfano ya Uchumi nafasi 1 wakati kuna wachumi ambao bado wanasubiri placement toka November 2022 wamekosa iyo mtu mmoja hadi waitangaze tena iyo nafasi moja? Mbona mambo yanaleta ukakasi jamani.
Nmeshangaa sana kuona hiz nafasi moja moja. Serikali iko radhi ku advertise post moja moja kila siku wakifikiri watu wataona inatoa nafas nying sana.

Hili hili bunge mwez ulopita wame advertise post kma 2 hiv feild tofaut leo tena wameadvertise zingne tena wkt zile za mwanzo ata hawajaita watu kwa ajili usIli.
 
Hivi kweli tumekosa best way ya kuwashinikiza watoe majina yote kwa mkupuo kulingana na idadi ya nafasi wazi zilizofanyiwa usaili.??

Napendekeza, twende instagram page yao tuwalalamikie huku tukimtag waziri chawene na rais mwanzo-mwisho.
Ila hakikisha jina la insta halisomi jina lako halisi. Blender mfwende sawadogo n.k tuamke.


Wanatoaje placement shingo upande as if wanalipa mishahara kutoka mifuko yao binafsi???
Kesho tu tamisemi vijana 20 elfu wanaingia kazini, why kada nyingine iwe interview kibao na bado final placement iwe longolongo hivi???
Sekretarieti ya Ajira
Uvumilivu unakaribia kufika mwisho acheni ujinga wenu.
Hakuna kitakacho shindikana kma wote tutaongea lugha moja. Vijana wenyewe bado hatuko tayari kujipambania yan tunasubir wanasiasa ndo watupambanie kitu ambacho akitakuja kutokea. UMOJA....UMOJA....UMOJA

Kama kweli tunataka kufanya move yyte ya kuonesha "tumechoka na huu ujinga"
Cha kwanza kabisa we need to have a leader then mamb mengne yataenda tu. Vijana tuamke najua kuandamana hatuko tayari basi ata move ya huku mitandaoni tushindwe? come on....

Unajua tukichagua kukaa kimya kwamba kila mtu apambane na hali yake basi hawa jamaa wataendelea kucheza sana na hisia zetu as usual.
 
Nyongeza hapo mkuu, draft ujumbe tumtumie inbox madame president kwenye mitandao yake ya kijamii, haiwezekani watu wafanye kazi kama vile ni hisani wakati wapo hapo wanalipwa mishahara (kodi za watanzania) kwa ajili ya kazi hii.
Tuanzishe movement ambayo ni endelevu itakayokoma hadi pale wataacha kucheza na hisia zetu.
 
Wazo zuri, lakini meseji huwa wanasoma wasaidizi wake tu.
Hapana kaka hua zinawafikia vizuri kabsa. Shda n kwamba wao waishapata izo massages hua wanasoma seriousness ya watuma ujumbe au wahanga.. mkituma ujumbe afu mkatulia kusubiri majibu nao hukaa kimya na kupotezea kabsa and they will assume it's not a serious issue..

Ndo maana m nasema tukitengeneza movement ambayo ni endelevu wataamka tu watake wasitake.
 
Cha kusukumia skukuu hicho IT manager ana pdf anatakiwa aweke ngoja tuone next week Eid Mubarak
na over time anaipataje akat Leo lazima mwezi uandame, kwaiyo ni mwendo wa mdogo mdogo lenye Mb zake baadae akiwa na chake mkononi hahahaaa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom