basa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 258
- 386
Hii inafikirisha sana, Bahati mbaya sana vijana hatuna umoja kabisaWabunge wenyewe hawataki watu wa database halafu tunategemea ndio watetee kanzidata la Mhagama?
Hii inafikirisha sana, Bahati mbaya sana vijana hatuna umoja kabisaWabunge wenyewe hawataki watu wa database halafu tunategemea ndio watetee kanzidata la Mhagama?
Upo na clip yake tuone??Wabunge wenyewe hawataki watu wa database halafu tunategemea ndio watetee kanzidata la Mhagama?
Nenda sekritariati ya ajira,Upo na clip yake tuone??
Ndo natoka mbn hyo taarifa sijaiona kiongozi?Nenda sekritariati ya ajira,
Hahahaha kidogo kidogo tutaelewanaWabunge wenyewe hawataki watu wa database halafu tunategemea ndio watetee kanzidata la Mhagama?
Nimeona msimamizi fedha ila hawajamtaja mtu wa finance wanataka wa tax au economics na pia cpa badala ya cfaSio taarifa inashangaza bunge kutoa kazi mfano ya Uchumi nafasi 1 wakati kuna wachumi ambao bado wanasubiri placement toka November 2022 wamekosa iyo mtu mmoja hadi waitangaze tena iyo nafasi moja? Mbona mambo yanaleta ukakasi jamani.
Hakika ni kitu Cha kushangaza. Unahitaji Financial Management Officer then course ya Bcom Finance, Bachelor in Finance and Investment/ Banking hazijaorodhesha kama required qualifications.Nimeona msimamizi fedha ila hawajamtaja mtu wa finance wanataka wa tax au economics na pia cpa badala ya cfa
Wapigie simu wanaweza rekebisha mkuuNimeona msimamizi fedha ila hawajamtaja mtu wa finance wanataka wa tax au economics na pia cpa badala ya cfa
Kuna pdf huko la placementWadau wangu wa nguvu wa database naona mmepoa,
Amkeni tu push ajenda hivyo hivyoo..
mwendo wa halmashauri
Pdf fupi hiyo😂😂😂