zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
Tunahitaji utekelezaji wa ahadi Mh.Mhagama 1700+.....waache kukwepa ilo swalaLeo Chawene amethibitsha database ipo na ameongeza muda amesema mtu atakaa database kwa muda wa mwaka mmoja, mwaka ukiisha nafasi haijapatikana ndo unatolewa