HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi kweli tumekosa best way ya kuwashinikiza watoe majina yote kwa mkupuo kulingana na idadi ya nafasi wazi zilizofanyiwa usaili.??

Napendekeza, twende instagram page yao tuwalalamikie huku tukimtag waziri chawene na rais mwanzo-mwisho.
Ila hakikisha jina la insta halisomi jina lako halisi. Blender mfwende sawadogo n.k tuamke.

Wanatoaje placement shingo upande as if wanalipa mishahara kutoka mifuko yao binafsi???
Kesho tu tamisemi vijana 20 elfu wanaingia kazini, why kada nyingine iwe interview kibao na bado final placement iwe longolongo hivi???
Sekretarieti ya Ajira
Uvumilivu unakaribia kufika mwisho acheni ujinga wenu.
 
Nyongeza hapo mkuu, draft ujumbe tumtumie inbox madame president kwenye mitandao yake ya kijamii, haiwezekani watu wafanye kazi kama vile ni hisani wakati wapo hapo wanalipwa mishahara (kodi za watanzania) kwa ajili ya kazi hii.
 
My friend 8 minutes ni muda mrefu sana kama utampa candidate ajieleze based on the above standards. Kupitia maelezo na presentation yake unaweza kujua all of the above skills.

Anyway point ni kuwa MTAZAMO wa usaili ubadilike kulingana na standards za saili zilivyo. Panelist awe na uwezo wa kufanya conversation na msailiwa sio kuinama kusoma swali alafu marking scheme pembeni thats bullshit.

Ukimpokonya karatasi na yeye ukamuuliza anabaki amekodoa hawezi kujibu WHY sababu na yeye mpaka asome japo ni kada yake.
Hapa huwa wanazingua kweli, ukijiongeza kidogo tu, unamtoa nje ya mstari. Hii inazingua sana mkuu.
 
Nyongeza hapo mkuu, draft ujumbe tumtumie inbox madame president kwenye mitandao yake ya kijamii, haiwezekani watu wafanye kazi kama vile ni hisani wakati wapo hapo wanalipwa mishahara (kodi za watanzania) kwa ajili ya kazi hii.
Ardhi University wanasubiria nao.
 
Ardhi University wanasubiria nao.
Kuna vitu ukifikiria inashangaza kweli imagine nafasi ya kumpata Raisi wa nchi mchakato wake huwa hauzidi hata miezi minne, njoo sasa kwenye hizi ajira zetu jobless mtu anakaa mpaka mwaka mzima hajajua hatima yake ni ipi?
 
Oya Jobless ,hivi utumishi bajeti hii iliyopita wametoa placement za ajira 10000 kweli ? Au ndio kupigia debe hizo bajeti waende kulipana wao na vimada wao posho za kufuru na vikao vya kipuuz
HIyo 10,000 yenyewe ni uongo mtupu yan
J
 
Back
Top Bottom