HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watu hawaelewi ni hivi mtu amesoma Account na akawa amepita oral akikosa kazi anawekwa reserve wakitaka mhasibu siku nyingine tunampa yule aliepo kanzi data, yaani kwa kada zinazo fanana na kazi husika. Yaani Kada zinazo fanana, ni kada zinazo fanana, zenye muelekeo na kazi hiyo. Halafu watu wajue usaili ni mbwembwe za kupunguza kuchuja watu maana kama ww ni professional Banker au Accountant inamaana humo ndani ya course umesoma Finance kiujumla, au mambo ya uhasibu unayajua yote sasa Accountant kufanya TMO kufaulu au kufeli hakuondoi professional yake ule ni mtihani kama mitihani mingine tena ni 40 minutes tena ni maswali mengine ni ya vichomi sasa mtu kasoma chuo lets say Ardhi university au Mzumbe Bachelor of Science in Accounting and and Finance na ana CPA yake, akaomba TMO akafaulu written akakosa oral ikitokea kazi ya uhasibu usimpe eti kisa huu usaili ulikuwa wa tax utakuwa ww ni dogi kama dogi wengine huyo kutokana na course yake Kazi za customs anafanya ,tax anafanya tena ni tax consultant mzuri tu, na uhasibu anafanya, na mikopo anafanya na finance officer anafanya hata za administration anafanya.
Mambo ya interview its just kuchuja sio kuja kujua yupi mzuri yupi sio mzuri walio mpa cheti ndio wanajua kama walimzawadia labda tuwaulize wao siamini kama kuna chuo kina gawa vyeti hivyo vyeti vinatunukiwa na TCU/NACTE
ndio maana ukipata sup unakaziwa mpaka usapue ndio ugaraduate sasa leo hii mtihani mmoja tena mtu kakaa kajifungia chumbani katunga maswali anayo ya jua yeye ndo yaje kukupima ww, tuache porojo.
Umeongea full facts brother.....big up
 
Hizi ndio haziulizwi na utumishi kwahiyo lazima wakutane nayo hayo.
Namna gani ya kuuliza maswali kwenye usaili na nani wamchukue hayo ni mambo wao wanatakiwa ku discuss, kwanza gov wana chukua minimum qualification, so humo ndani kuna chenga zote hapa wanatakiwa kukaa na kuona namna ya kuchuja, kulalamika kuwa wanaletewa watu unqualified haisaidii, c wanapima kutumia maswali ya darasani wapambane.

Kwanini Psrs wanachelewesha kuita watu kazini?
 
Hawajasema wanataka EXPERTS no. Tatizo hawaoni vijana mkiwa na skills muhimu kwa mfanyakazi yoyote

Mfano

  • No reasoning skills
  • No creativity
  • Poor reporting skills
  • No leadership skills
  • No organization skills
  • Poor communication skills

yaani wanaona mnakuwa kama mnaleta JAM ofisini, kitu mnajua ni mention this, list that, importance of that, causes of this
Hizo skills ni rahisi kujifunza huko huko Kazini..
 
Usahili ule ulikua typical tax.
Unakomaa na usaili, unakaza fuvu na usaili tu....... kufanya usaili hakuondoi ulichisomea chuo Kaka ww una Bachelor ya sheria Mzumbe au St. August yenyewe ni 4 years na ukaenda law school hapo Simu 2000 UD ukaona katangazo kanataka aliye sama law labda ni customer service, sasa usipo pata nafasi ya customer service psrs wasikupe kazi ya mwanasheria sehemu fulani kisa usaili ulio fanya haukuwa wa maswalinya sheria mmmh, hicho cheti cha nini sasa. Tusisome basi tusubirie interview.Kama ndo wanafanya hivyo unavyo taka ww hapo hatuna taasisi na hawawezi kufanya hivyo najua
 
Narudisha swali kwako: KWANINI BAKWATA WANATUMIA MUDA MREFU KUTANGAZA EID???
IMG_20230420_151049.jpg
 
Kabisa Mtu aliyemaliza chuo 2015 akafanyi kazi ya kujitolea ofisi yoyote kwa miaka 7 akirudi PSRS bado hatoboi bila kupiga msuli wa nguvu na desa.

Hata yule anayekufanyia interview kama ni mtu wa kada yako ukimuuliza maswali anayokuuliza wewe hawezi kujibu bila kusoma majibu.

Now what is that?
Na hapo wanakosea sana mtu kamaliza 2015 na anauzoefu, umri unaenda labda ana 32 analinganishwa na 2022 hapo anapewa asali ndefu sasa lazima atazingua kazini mpaka aje kupata uzoefu ni muda mrefu ila wangekuwa na utaratibu wa kubalance first in first out wakubwa wafikiriwe kwanza na kuwe na mitihani tofauti kulingana na umri na uzoefu huwezi changanya 43 years na 22 years hawa watu hata uelewa tofauti, ujuzi na uzoefu tofauti .tukiondoa maswali ya darasani
 
Naomba kuchangia hoja
Kuhusu database ni sawa kabisa wala haina shida interview zimewekwa sababu ya competition haijalishi umefanya usahili wa kazi gani au taasis ipi kwani qualifications za kazi zimewekwa na ipo minimum (entry level) kwa kazi nying za serikali hivyo yeyote yule anaweza fanya sababu training na induction course zipo zinatolewa.

Sasa huwez niambia eti kisa nimefanya interview ya TMO kwamba sitaweza kupangiwa taasis nyingine kama account officer hapana usahili lengo lake ni kupunguza watu na kuchuja. Ila kiuhalisia psrs wangejitahid kuwapangia kazi waliopo kanzidata kwa sababu ni Moja ya jukumu lao
 
Na hapo wanakosea sana mtu kamaliza 2015 na anauzoefu, umri unaenda labda ana 32 analinganishwa na 2022 hapo anapewa asali ndefu sasa lazima atazingua kazini mpaka aje kupata uzoefu ni muda mrefu ila wangekuwa na utaratibu wa kubalance first in first out wakubwa wafikiriwe kwanza na kuwe na mitihani tofauti kulingana na umri na uzoefu huwezi changanya 43 years na 22 years hawa watu hata uelewa tofauti, ujuzi na uzoefu tofauti .tukiondoa maswali ya darasani
Kwani kazi wamesema kigezo cha experience hapana ni entry level so try your lucky usitafute excuse ambazo hazina maana. Kwani chuo wa over 40 Wana masomo Yao tofaut na huyu wa 20's.

Na pia yanayoulizwa kwenye usahili si hayohayo tumesoma wote au labda zaman mmesoma tofauti.

Performance ya mtu haipikwi kwa age au experience unaweza ukawa na experience still asiye nayo akaperform vizur na akawa promoted
 
Naomba kuchangia hoja
Kuhusu database ni sawa kabisa wala haina shida interview zimewekwa sababu ya competition haijalishi umefanya usahili wa kazi gani au taasis ipi kwani qualifications za kazi zimewekwa na ipo minimum (entry level) kwa kazi nying za serikali hivyo yeyote yule anaweza fanya sababu training na induction course zipo zinatolewa. Sasa huwez niambia eti kisa nimefanya interview ya TMO kwamba sitaweza kupangiwa taasis nyingine kama account officer hapana usahili lengo lake ni kupunguza watu na kuchuja. Ila kiuhalisia psrs wangejitahid kuwapangia kazi waliopo kanzidata kwa sababu ni Moja ya jukumu lao

Ila kwa hapa naona haiko hivyo, kwa sababu nakumbuka nafasi za Auditor ii NAOT zilifanyika mwezi October 22 waluotwa kazini wakaitwa nadhani kati ya January au Feb 2023, kisha zikaja kufanyika za TMO January 23 na kuitwa kazini Feb 14 2023, Mwezi March wakaitwa kutoka kanzi data Afisa mkaguzi COASCO walikuwa 21, wote hao walitoka kwa wale waliofanya Auditor II za NAOT na siyo wa TMO hivyo nahisi kinachofanyika ni kuwa wana angalia position uliofanyia usaili na siyo ulichosomea.
 
Elewa auditor lazima awe na CPA lakin TMA ni ilikua degree tu ya account
Kuna Kada Wana mitihan ya board hvy mpaka uwe certified
Mfano mawakili na wanasheria wapo wenye degree na wengine wamefanya law school hvy same to accounting
 
Wanaangalia ulichosomea na qualifications sio umefanya usahili taasis gani nope hapo wameshindwa kuchukua wa TMO sababu huenda hamna wenye CPA
Na ukiingia database hawaangalii ulifanya sahili taasis gan labda hizi za ukufunzi ndio passmark Yao tofaut
 
Elewa auditor lazima awe na CPA lakin TMA ni ilikua degree tu ya account
Kuna Kada Wana mitihan ya board hvy mpaka uwe certified
Mfano mawakili na wanasheria wapo wenye degree na wengine wamefanya law school hvy same to accounting
Unachanganya ndugu zile za Auditor ii NAOT hazikuwa na kigezo cha CPA zilizokuwa na kigezo cha CPA ni Internal Auditor ii za MDA & LGA.
 
Tunaimani na psrs ila tunaomba haya madhaifu tunayoyasema apa yafanyiwe kazi, wafanye haya [emoji116][emoji116]

1. Watoe matokeo ya oral

2. Watenganishe pdf la walotoka database pekee na pdf la waliopata direct. Wasichanganye

3. Ktk pdf la waliotoka database, waongeze column 1 ijulikane kama refference column. Yan kwenye iyo column wanaweka interview no ya oral interview alopiga huyo mlamba asali na ikamuweka kwenye kazi data. Au kam kuna mtu anaona kuna namna nzuri zaid ya hii niliyosuggest atusaidie. Tuifanyeje hii column, lengo tuwe na refference column.
Watu sio wajinga buana tunataka haki, hii nchi n yetu sote.
Mapungufu yote hayo alafu bado una Imani nao 👆👆😂
 
Bro hatuendi hivyo watanzania tufunguke.Waziri ni kiongozi mkubwa sana kaka labda hujui mandate walio nayo hawa watu, wanakaa na waziri mkuu na Raisi wakijadili mustakabli wa mambo. Akiongea kitu waziri ndio kimeafikiwa na wakuu usidhani wanaropoka, yeye ni representative ndio maana lazima uwe mbunge kwanza, wale wamebeba dhamana kubwa kuendelea kuwaita wanasiasa haisaidii, tunatakiwa tuwabane wasipo tumiza wajibu wao ipo hivyo kaka kama hujui, eeh ni siasa hizo ni siasa hatuelewi sisi kwanza huku Afrika ndio tulivyo ingekuwa nchi za watu they are accountable.Borison alibanwa akashikizwa akajiuzuru, yule Bimkubwa nae hata miezi miwili hakumaliza aling'atuka yaani ni hivi waziri asipo timiza wajibu anawajibishwa au ajiuzuru yeye mwenyewe, ila huku huo utamadduni haupo maana wote akili zetu sawa hee ni siasa, siasa, siasa, we are talking very important issuies sio siasa hapa kama ni mwana siasa sisi hatujui hayo anajua yeye na CCM yake hapa saizi tunangalia utendaji kwanza, hujamsikia roma anakuambia siasa ndo inaamua sukari iuzwe bei gani lazima tuwe makini na siasa other wise tutabaki kama ndege john. Nakama huijui siasa lazima ziwe safi ndio mambo ya ende...
Mh.Waziri vijana tunaimani na wewe hata kama amehamishwa wizara bado kilio chetu kero na mambo tunayo taka tafanyiwe kazi, nimesikia ajira 45000 za budget mpya, PSRS tunaomba msimamie vizuri, Raisi anataka vijana wapate ajira ila mnamuangusha mkuu wa nchi mafungu mmeshapitishiwa mshindwe nyie, fedha zote mmeomba wabunge wamewapitishia leo hatutaki zengwe.
.
Kama budget ya 2022/2023 ilikuwa inahitaji ajira 30,000 wameajiri 10,000....
Hii ajira 45,000 inahitaji Maombi kwanza.....
Hapa ni kuchochea kuni
 
Mwaka huu wanasema 45000, nikikumbuka yaliyotokea mwaka Jana, , naiyona wizara inaenda kuzupiga TU hizo POSHO basi
 
Back
Top Bottom