Hivi unaufahamu wa lugha vizuri? Hivi unajua context inaweza kuathiri maana ya neno hata kama likiwa zuri namna gani?Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, Best looser is not a racist word. Nimeelezea kwa mifano ya ureno ili nieleweke vizuri. If u call me a best looser am not upset with that word coz nothing change.
Turudi kwenye mfano wa mpira maana wewe unaonekana ni shabiki mzuri wa mpira, kuna wakati referee hufanya maamuzi labda anasema hii ni foul na aliyefanya hiyo foul kwa mwenzake akimpigia makofi referee hupewa kadi ya njano! Unafikiri ni kwanini huwa anapewa kadi licha ya kumpongeza referee kwa kumpigia makofi.
Rappers wa USA huwa wana swear words muda mwingine hutamka niggar na huwa wapo happy tuu na lyrics zao ila sasa itokee aitwe na other race heeee! Ni malalamiko na tifu kwenda mbele.
Uzuri wa neno hutegemea na mazingira.