HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tamko lake naona halina ukweli, mbona saili zinaendeshwa in Integrated system- mfumo shirikishi na waajiri husika , mimi nimefanya saili 8 mpaka sasa na katika saili zote hizo nilikuwa naona waajiri wa taasisi husika wakiwepo.
Tena wanashirikishwa kuanzia saili a kuandika mpaka za kuongea nimefanya saili nane na katika hizo 1 ndio nilifanikiwa kuingia oral ambayo ndio nasubiria placement zake mpaka sasa.
 
Wanajamvi nauliza kwa wale waliofanya oral ya TRA mwezi wa kwanza af wakakosa placement,vp kuna ambao wamepata wakapangiwa sehemu zingine??mean walokuwa database
 
Tena wanashirikishwa kuanzia saili a kuandika mpaka za kuongea nimefanya saili nane na katika hizo 1 ndio nilifanikiwa kuingia oral ambayo ndio nasubiria placement zake mpaka sasa.
Na nimeshuhudia huo mfumo shirikishi katika hatua zote, kwa kauli hiyo point ya Mkurugenzi haina mashiko, ushauri waliutoa @ mwifwa na @ mazgaz ndio unaotakiwa kufanyika.
 
Naona nafasi za internal auditor 11 zimeongezwa tena 52 naona hii itakuwa ni moja wapo ya strategies za ku implement hoja za repoti ya CAG naona serikali inataka kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani kuwa na man power ya kutosha kukabiliana na ishu za ubadhirifu wa mali za uma.
 
Wanajamvi nauliza kwa wale waliofanya oral ya TRA mwezi wa kwanza af wakakosa placement,vp kuna ambao wamepata wakapangiwa sehemu zingine??mean walokuwa database
@Twinawe ni mmojawapo.

Alikosa TRA alikofanyia usahili, akaja kupata Wizarani kupitia database
 
kwenye mkutano wa msajili wa hazini na wakuu wa taasisi hii leo, kuna mkurugenzi kasimama na kumwambia msajili kuwa;

wanapata shida sana ya watumishi/ajira kwa sababu;
1. wanafanyiwa (wanaendeshewa) interview na watu wasio wa kwao yaani psrs
2. wanahamishwa kwao huku hawajui quality yao

aca-conclude wanapata wafanyakazi wasio na quality na awanataka wale tu wanaofit mandate na function ya taasisi husika!!

link; https://www.youtube.com/watch?v=owdqFSPLn0A&ab_channel=DailyNewsDigital
Tuongee ukwel upande wa Oral PSRS wanaosimamia ni taasisi husika anataka nn mkurugenzi...Sema jana wameguswa na Mbunge fulan mambo ya ukabila na vimemo lazima chawa watoke
 
We are together comrade [emoji123][emoji123],,, mtu ata mmoja asije akadhani haya tunayoyaongea apa tunapiga tu kelele,maana n bado kitambo kidogo tu tutaona matunda yake naamin katika hili. sasa n nin tunapaswa kufanya sis kama vijana?

Tunapaswa tuwe kitu kimoja na sote kwa pamoja tuongee lugha moja. Umoja ni nguvu vijana wenzangu tukiungana wote tukaongea lugha moja amin usiamin mwaka wa fedha ujao wengi sana tutalamba asili,
Kuna watu hii nchi wanacheza sana na hisia zetu, nafasi za kazi zipo bwana sema tu kuna watu wanajiita wenye mamlaka wanazikalia, imagine tu kwa kila mwaka wa fedha n nafasi nying sana za kazi zinaidhinishwa lakin zinazotangazwa na kupata watu ni chache sana, hizi zinazobaki zinaenda wap?

My friends kuna fumbo lililofumbwa maksudi na watu wachache waliokaa na kuamua matokeo ya oral interview yawe ni siri.

Tunaomba matokeo ya oral yatolewe kama ya written tena within 3 days maana marks zako hujulikana tu pale unapowategea mgongo panellists.
Suruhisho la "KWANINI UTUMISHI WANATUMIA MDA MREFU KUTOA PLACEMENTS? ni kutoa matokeo ya oral wakajulikana waliopata, walioingia kanzidata na waliofeli wakat process zingne zikiendelea.
 
Taasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.

Kila taasisi ina mifumo yake ya utendaji kazi ambapo inatakiwa iwafunze watumishi wake ili waweze kuitumia kwenye kazi.

Sasa akitaka aletewe mtu anayejua hivyo vitu ambayo hana access navyo anafikiri atajifunzia wapi ili ajue? Huyo Mkurugenzi kakwama kwenye hoja yake, akae chini aiboreshe na kuiwasilisha tena
Pamoja na hayo uliyozungumza ndugu Mwifa ni ukweli usio pingika kuwa hili la database litaleta malalamiko toka kwa baadhi ya waajiri.

Maoni yangu binafsi, database ifutwe, inapotokea nafasi, watu waitwe kipigwe, hii ndio namna inavyotakiwa kuwa.
 
Kati ya watu 10,000 wamepita watu 700 hapa bado mwajiri anamashaka kwel ...waseme ukwel waajiri wanaogopa challenge kwa vijana wa nw kwenye kazi(ukilitimba mwingi)...Hili Mama alitizame tumetoka awamu ya ubabe tupo awamu ya furaha...
Aliyekufundisha mpk ukafika hapo katoka data base(mwalimu)...
 
Tunaimani na psrs ila tunaomba haya madhaifu tunayoyasema apa yafanyiwe kazi, wafanye haya [emoji116][emoji116]

1. Watoe matokeo ya oral

2. Watenganishe pdf la walotoka database pekee na pdf la waliopata direct. Wasichanganye

3. Ktk pdf la waliotoka database, waongeze column 1 ijulikane kama refference column. Yan kwenye iyo column wanaweka interview no ya oral interview alopiga huyo mlamba asali na ikamuweka kwenye kazi data. Au kam kuna mtu anaona kuna namna nzuri zaid ya hii niliyosuggest atusaidie. Tuifanyeje hii column, lengo tuwe na refference column.
Watu sio wajinga buana tunataka haki, hii nchi n yetu sote.
 
Naona nafasi za internal auditor 11 zimeongezwa tena 52 naona hii itakuwa ni moja wapo ya strategies za ku implement hoja za repoti ya CAG naona serikali inataka kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani kuwa na man power ya kutosha kukabiliana na ishu za ubadhirifu wa mali za uma.
Hao internal auditor hawafanyi kazi zao ipasavyo, wanatakiwa wote wakamatwe maana wanaonyesha taasisi haina shida kumbe ina MADUDU kibao
 
@Twinawe ni mmojawapo.

Alikosa TRA alikofanyia usahili, akaja kupata Wizarani kupitia database
Atakuwa alifanya interview za maafisa hesabu sio kufanya interview za tax management officer then upangiwe kuwa mhasibu wa halimashauri
 
Taasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.

Kila taasisi ina mifumo yake ya utendaji kazi ambapo inatakiwa iwafunze watumishi wake ili waweze kuitumia kwenye kazi.

Sasa akitaka aletewe mtu anayejua hivyo vitu ambayo hana access navyo anafikiri atajifunzia wapi ili ajue? Huyo Mkurugenzi kakwama kwenye hoja yake, akae chini aiboreshe na kuiwasilisha tena
Well said mwifwa. Psrs ibaki na majukum yake ila tu ifanyie maboresho changamoto zake
 
Japo kwenye taasisi kuna figisu sana ila kule ndiko kwenye usaili mzuri unaopima ujuzi, ubunifu, na weledi wa msailiwa CASE CLOSED.
Acha uoga unafunga case ya nn? Acha tutie neno kabla hujafunga[emoji16],naomba nikuulize maswali ma2. Huko kwenye taasisi ni jambo gani hufanyika kupima ujuzi, weledi na ubinifu ambalo psrs halipo?

Keeping in mind kwamba hua wanahusika kwenye saili na apa kanazaliwa kaswali kengne. Mfano kuna interview ya nafasi za kaz taasis x na unakuta kwenye panellists 6 basi wa4 kam sio wa5 ni wa hiyo taasis x, sasa je ni kipi kinawazuia wasifanye wanachokifanyaga kule kuupima huo ujuzi, weledi na ubunifu?
 
Tamko lake naona halina ukweli, mbona saili zinaendeshwa in Integrated system- mfumo shirikishi na waajiri husika , mimi nimefanya saili 8 mpaka sasa na katika saili zote hizo nilikuwa naona waajiri wa taasisi husika wakiwepo.
Hakuna watu wabaya kama wakurugenzi wa mashirika hao ndo wanataka ulaji, waweke watu wao ,washaona kama taasisi ya kwao eti unatuletea watu wasio na sifa nani anaomba kibali, tena anataja na sifa anazo taka akiletewa anasema hawana sifa jamani jamani hao watu huo ni ubaguzi PSRS sio wajinga walete watu ambao hawana sifa umesema unataka Bachelor ya Account, Economics au Finance au BBA halafu waseme na GPA na aina gani ya masomo mtu aliye faulu vizuri ili kuondoa lawama vigezo vingine ni Minimum kisheria ukute wamesomesha watoto wao uingreza au India wakiwaandalia nafasi na hao watoto ukiwapeleka dodoma written2 chali tena wakati mwingine maswali ni yakawaida, waleteni hao wakwenu wenye sifa tushindane wote tupite hatua kwa hatua hatuwezi kuwaachia usaili na huku tunawajua mnanjaa ya kuweka ndg zetu hamna fact.

Hamana maarifa unique yote watu wanayo na uzoefu mwingi kama IT wapo kibao, kama Auditor wapo kibao na wana CPA/ ACCA, Wataalaam wa mitambo wazuri wapo na wanafundishika tatizo ni nini mpaka wapige kelele yaani watu wenye sifa ni wakuwaweka nyie, wakutoka PSRS hawana sifa , hamana fact.
 
Back
Top Bottom