HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna kitu tuwekane Sawa katika izo sahili huwa kunakuwa na watahiniwa Kada tofaut tofaut mfano kazi labda ya mipango unakuta wamechukua watahiniwa kutoka Kada labda project planning, researchers, rural planning, urban planning, environment management, so nadhani labda hili ndo linadababisha kuwepo kwa data base na watu wakapangiwa sehemu nyingine kutokana na Kada yake
 
Mpaka kufanya TMO means aliqualify kwa kuwa alisoma Bcom account so if Yuko database why isiwezekane kupangwa halmashauri coz kafanya TMO sawa ila pia ni muhasibu professionally
Usahili ule ulikua typical tax.
 
CASE OPENED

PSRS Ndio taasisi pekee duniani ambayo inageuza mtihani wa Written kuwa ORAL ndio sababu taasisi zinalalamika kuletewa vilaza.

Mchukue mtu aliyefanya kazi hata miaka minne kwenye ofisi yoyote mrudishe akafanye tena usaili PSRS hatoboi, kwanini? atahitaji tena kuingia darasani au kusoma madesa.
Hii inafikirisha sana wanakosea mnoo.
 
Hii inafikirisha sana wanakosea mnoo.
Kabisa Mtu aliyemaliza chuo 2015 akafanyi kazi ya kujitolea ofisi yoyote kwa miaka 7 akirudi PSRS bado hatoboi bila kupiga msuli wa nguvu na desa.

Hata yule anayekufanyia interview kama ni mtu wa kada yako ukimuuliza maswali anayokuuliza wewe hawezi kujibu bila kusoma majibu.

Now what is that?
 
Ni wazi inafahamika, kwa binadamu mwenye uwezo wa kawaida tu, akipewa mafunzo ya kazi husika anaifanya bila shida, linapokuja swala la ajira, lazima kupima uwezo au umahiri katika kada husika kwa njia ya sahilili.

Kufanya vizuri sahili ni zaidi ya kutimiza vigezo na kufaulu katika ngazi ya elimu husika. Hapo ndipo umuhimu wa usahili huingia.
Mbna nashindwa kuelewa sasa tunachozungumzia apa ni kitu gani.

M nadhan tunazungumzia issue ya wale wamefaulu saili wakapelekwa kwenye mataasisi afu waajiri wakaanza kulalamika wanauwezo mdogo?

Umesema mwenyew kua binadamu yyte akipewa mafunzo bas kazi yyte anaifanya bila shda, sasa hao waajiri wanakwama wapi?

Mtu ndo anaanza kazi hujampatia mafunzo yyte afu unategemea afanye kazi kma expert siku za mwanzo? Asipofikia performance level unayoitaka wew uje nje uwaambie watu umeletewa watu wenye uwezo mdogo kumb shda n wew mwenyew.

Buana watu sio wajinga buana [emoji16], mtu ata kama ana GPA ya 2.7 akipewa mafunzo ata kam n B.O.T anafanya kazi vzuri tu.
 
Anae sema taasisi wana usaili bora unajua wanatumia staili gani kushort list hujuani na HR, au mkuu wa idara au mkurugenzi huitwi imeisha iyo ni kujipanga2 wanaweza kujadili namna ya kuendesha saili na taasisi husika na mambo yakaenda hakuna cha usaili bora, usaili bora, una attitude ya kazi nzuri, upo energetic enough kufanya kazi maana usaili ni kitu kingine kazi ni mwendelezo system zote mpya kwa watu, ukiingia utamkuta juma, amina ,mariam atakufundisha hapa tunafanya hivi mpaka ujue huwezi ingia kule uwe unajua kila kitu au mjuaji wa mambo yote uliyajua wapi, ulifanya intern hapo au
Yan huko kuitwa kwenye usaili ni mbinde
 
Mbna nashindwa kuelewa sasa tunachozungumzia apa ni kitu gani.

M nadhan tunazungumzia issue ya wale wamefaulu saili wakapelekwa kwenye mataasisi afu waajiri wakaanza kulalamika wanauwezo mdogo?

Umesema mwenyew kua binadamu yyte akipewa mafunzo bas kazi yyte anaifanya bila shda, sasa hao waajiri wanakwama wapi?

Mtu ndo anaanza kazi hujampatia mafunzo yyte afu unategemea afanye kazi kma expert siku za mwanzo? Asipofikia performance level unayoitaka wew uje nje uwaambie watu umeletewa watu wenye uwezo mdogo kumb shda n wew mwenyew.

Buana watu sio wajinga buana [emoji16], mtu ata kama ana GPA ya 2.7 akipewa mafunzo ata kam n B.O.T anafanya kazi vzuri tu.
Napinga andiko lako kwa 100%
 
Kwan kinachoangaliwa ni ni hasa?ni post uliofanyia interview au ni qualifications zako?coz mi nafkir kikubwa ni uwe umefaulu n if uko database basi unaweza pangwa kada inayorelate na bachelor uliyosoma
Watu hawaelewi ni hivi mtu amesoma Account na akawa amepita oral akikosa kazi anawekwa reserve wakitaka mhasibu siku nyingine tunampa yule aliepo kanzi data, yaani kwa kada zinazo fanana na kazi husika. Yaani Kada zinazo fanana, ni kada zinazo fanana, zenye muelekeo na kazi hiyo.

Halafu watu wajue usaili ni mbwembwe za kupunguza kuchuja watu maana kama ww ni professional Banker au Accountant inamaana humo ndani ya course umesoma Finance kiujumla, au mambo ya uhasibu unayajua yote sasa Accountant kufanya TMO kufaulu au kufeli hakuondoi professional yake ule ni mtihani kama mitihani mingine tena ni 40 minutes tena ni maswali mengine ni ya vichomi sasa mtu kasoma chuo lets say Ardhi university au Mzumbe Bachelor of Science in Accounting and and Finance na ana CPA yake, akaomba TMO akafaulu written akakosa oral ikitokea kazi ya uhasibu usimpe eti kisa huu usaili ulikuwa wa tax utakuwa ww ni dogi kama dogi wengine huyo kutokana na course yake Kazi za customs anafanya ,tax anafanya tena ni tax consultant mzuri tu, na uhasibu anafanya, na mikopo anafanya na finance officer anafanya hata za administration anafanya.

Mambo ya interview its just kuchuja sio kuja kujua yupi mzuri yupi sio mzuri walio mpa cheti ndio wanajua kama walimzawadia labda tuwaulize wao siamini kama kuna chuo kina gawa vyeti hivyo vyeti vinatunukiwa na TCU/NACTE ndio maana ukipata sup unakaziwa mpaka usapue ndio ugaraduate sasa leo hii mtihani mmoja tena mtu kakaa kajifungia chumbani katunga maswali anayo ya jua yeye ndo yaje kukupima ww, tuache porojo.
 
CASE OPENED

PSRS Ndio taasisi pekee duniani ambayo inageuza mtihani wa Written kuwa ORAL ndio sababu taasisi zinalalamika kuletewa vilaza.

Mchukue mtu aliyefanya kazi hata miaka minne kwenye ofisi yoyote mrudishe akafanye tena usaili PSRS hatoboi, kwanini? atahitaji tena kuingia darasani au kusoma madesa.
Kabla sijatoa comment yangu Ktk hili naomba unieleweshe kwanza "Vilaza ndo watu gani ndugu"?
 
Mpaka kufanya TMO means aliqualify kwa kuwa alisoma Bcom account so if Yuko database why isiwezekane kupangwa halmashauri coz kafanya TMO sawa ila pia ni muhasibu professionally

Ni kweli ni Afisa wa hesabu au muhasibu lkn ule mtihani ulihusu maswala ya Taxation na sio Accounts.

Kwa hyo atakama kama alifaulu vizuri au yupo ktk kanzi data ni vigumu kumchagua ktk kada tofaut TMO
 
Watu hawaelewi ni hivi mtu amesoma Account na akawa amepita oral akikosa kazi anawekwa reserve wakitaka mhasibu siku nyingine tunampa yule aliepo kanzi data, yaani kwa kada zinazo fanana na kazi husika. Yaani Kada zinazo fanana, ni kada zinazo fanana, zenye muelekeo na kazi hiyo. Halafu watu wajue usaili ni mbwembwe za kupunguza kuchuja watu maana kama ww ni professional Banker au Accountant inamaana humo ndani ya course umesoma Finance kiujumla, au mambo ya uhasibu unayajua yote sasa Accountant kufanya TMO kufaulu au kufeli hakuondoi professional yake ule ni mtihani kama mitihani mingine tena ni 40 minutes tena ni maswali mengine ni ya vichomi sasa mtu kasoma chuo lets say Ardhi university au Mzumbe Bachelor of Science in Accounting and and Finance na ana CPA yake, akaomba TMO akafaulu written akakosa oral ikitokea kazi ya uhasibu usimpe eti kisa huu usaili ulikuwa wa tax utakuwa ww ni dogi kama dogi wengine huyo kutokana na course yake Kazi za customs anafanya ,tax anafanya tena ni tax consultant mzuri tu, na uhasibu anafanya, na mikopo anafanya na finance officer anafanya hata za administration anafanya.
Mambo ya interview its just kuchuja sio kuja kujua yupi mzuri yupi sio mzuri walio mpa cheti ndio wanajua kama walimzawadia labda tuwaulize wao siamini kama kuna chuo kina gawa vyeti hivyo vyeti vinatunukiwa na TCU/NACTE
ndio maana ukipata sup unakaziwa mpaka usapue ndio ugaraduate sasa leo hii mtihani mmoja tena mtu kakaa kajifungia chumbani katunga maswali anayo ya jua yeye ndo yaje kukupima ww, tuache porojo.
Walimu wanafanya usaili gani kwani mbona wanaajirika na kazi wanafanya japo wapo wengine nihamna kitu lakini wengi wao wanapiga kazi iweje course zingine kukaza fuvu na haya mausaili eeh alifeli hamana akifaulu oral nafasi hazitoshi zikipatikana watu wapewe msinyanyase watu kisa sababu ambazo hazina mashiko.
 
Mbna nashindwa kuelewa sasa tunachozungumzia apa ni kitu gani.

M nadhan tunazungumzia issue ya wale wamefaulu saili wakapelekwa kwenye mataasisi afu waajiri wakaanza kulalamika wanauwezo mdogo?

Umesema mwenyew kua binadamu yyte akipewa mafunzo bas kazi yyte anaifanya bila shda, sasa hao waajiri wanakwama wapi?

Mtu ndo anaanza kazi hujampatia mafunzo yyte afu unategemea afanye kazi kma expert siku za mwanzo? Asipofikia performance level unayoitaka wew uje nje uwaambie watu umeletewa watu wenye uwezo mdogo kumb shda n wew mwenyew.

Buana watu sio wajinga buana [emoji16], mtu ata kama ana GPA ya 2.7 akipewa mafunzo ata kam n B.O.T anafanya kazi vzuri tu.
Hawajasema wanataka EXPERTS no. Tatizo hawaoni vijana mkiwa na skills muhimu kwa mfanyakazi yoyote

Mfano

  • No reasoning skills
  • No creativity
  • Poor reporting skills
  • No leadership skills
  • No organization skills
  • Poor communication skills

yaani wanaona mnakuwa kama mnaleta JAM ofisini, kitu mnajua ni mention this, list that, importance of that, causes of this
 
Hizi ndio haziulizwi na utumishi kwahiyo lazima wakutane nayo hayo.
 
Ni kweli ni Afisa wa hesabu au muhasibu lkn ule mtihani ulihusu maswala ya Taxation na sio Accounts.

Kwa hyo atakama kama alifaulu vizuri au yupo ktk kanzi data ni vigumu kumchagua ktk kada tofaut TMO
Kwa IT ni sahihi ila kama sio IT hawaangalii hayo maana kada zingine zina taka cozi nyingi. Tazama mtu wa customer service wanaweza kuita watu wa law, finance,BBA,economics, customer service yenyewe, community development sasa wakifauli written my dear kila mtu anaenda kwenye kanzidata yake, kwanza ujue kuna kanzi data za aina tatu.

A, Kanzi data za watu wenye degree... yaani degree tu inakanzi data yake kufika chuo kuna kanzi data.Hiyo ni sheria yao wenyewe hatutungi haya mambo yapo ni yazamani wabadilishe watuambie bila hivyo utaratibu ndio huo.

B, Kanzi Data ya watu wenye ujuzi maalumu wale mafundi -Experts, certified professionals
C.Kanzi Data ya watu walio faulu usaili ila hawakupata nafasi kwa wakati huo.

Hao wanahifaziwa ili ikitokea kazi ya kada kama yao wapewe, Mbona waziri alisema tu vizuri ili watu wasirudi Dodoma kila wakati wale wa kada husika, achana na mambo ya sijui alifanya mtihani wa tax haijalishinwamefanya usaili gani sheria,kanuni inataka wapewe kazi.Sio ombi ni sheria mzee na taratibu zipo wazi vijana someni vitu maana mtapitwa.

Japo kuna mambo yakubadilishwa kwenye hizo kanuni zimepitwa na wakati kama hao wa bachelor kila nyumba ina bachelor 5 sasa utaweka wangapi ipo haja ya kubadilisha hizo kanuni na kuandaa utaratibu mzuri ambao hauta leta maswali kama saizi.
 
Back
Top Bottom