HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kati ya watu 10,000 wamepita watu 700 hapa bado mwajiri anamashaka kwel ...waseme ukwel waajiri wanaogopa challenge kwa vijana wa nw kwenye kazi(ukilitimba mwingi)...Hili Mama alitizame tumetoka awamu ya ubabe tupo awamu ya furaha...
Aliyekufundisha mpk ukafika hapo katoka data base(mwalimu)...
Data haina maana yoyote ile, ifutwe tu.
Iko hivi, sahili inavyoitishwa na kusimamiwa na mwajiri, ni mwajiri ndiye anaye-set minimum standards wa wana ajira wake wapya. Wangu mie ni kituko cha karne, mtu wa database kwa sahili ya katibu msaidizi wa bunge, kupangiwa post ya uhasibu kwa taasisi kisa tu inaonekana alifaulu sahili ya katibu msaidizi na akakosa nafasi, lakini, qualification yake ni muhasibu.

Ukitazama kwa makini, sahili ya katibu msaidizi wa bunge inapima vitu tofauti na majukumu ya uhasibu, hivyo ina apply kwa sahili nyingine.

Pili, kila taasisi hutoa mafunzo kabla ya kuanza majukumu ya kazi rasmi. Kabla ya kufika huko, taasisi husika hupendelea kuona washiriki takita sahili wanafikia viwango wanavyotaka wao, viwango hivyo, hupimwa kwa hiyo mitihani, katika meneo wanayoona wao yanafaa, kumtoa mtu database kumpeleka huko taasisi X kwa kufaulu tu usaili wa taasisi Y, ni kumnyima fursa huyu mwajiri wa taasisi X wa kupima na kujiridhisha juu ya ufaham wa huyu mtu anayeletewa.
Database ifutwe.
 
Acha uoga unafunga case ya nn? Acha tutie neno kabla hujafunga[emoji16],naomba nikuulize maswali ma2.
Huko kwenye taasisi ni jambo gani hufanyika kupima ujuzi,weledi
na ubinifu ambalo psrs halipo?
Keeping in mind kwamba hua wanahusika kwenye saili na apa kanazaliwa kaswali kengne. Mfano kuna interview ya nafasi za kaz taasis x na unakuta kwenye panellists 6 basi wa4 kam sio wa5 ni wa hiyo taasis x, sasa je ni kipi kinawazuia wasifanye wanachokifanyaga kule kuupima huo ujuzi, weledi na ubunifu?
Kuweka hoja sawa, sahili ni relevant ikiwa imeshirikisha taasisi husika, itatoa "desired candidate" kwa taasisi husika, na sio kinyume chake.

Ni kituko, sahili ihusishe taasisi X, candidate apelekwe taasisi A, hapa pana mazingire "irrelevant". Naungana na mkurugenzi, kupinga upelekewa candidate toka database.
 
Wanajamvi nauliza kwa wale waliofanya oral ya TRA mwezi wa kwanza af wakakosa placement,vp kuna ambao wamepata wakapangiwa sehemu zingine??mean walokuwa database
Mkuu piga hesabu za 6 months kwanza, sikilizia budget ya MOF
 
Pamoja na hayo uliyozungumza ndugu Mwifa ni ukweli usio pingika kuwa hili la database litaleta malalamiko toka kwa baadhi ya waajiri.

Maoni yangu binafsi, database ifutwe, inapotokea nafasi, watu waitwe kipigwe, hii ndio namna inavyotakiwa kuwa.
Hayo malalamiko nyie mnayasikiaga wapi?
Regardless of GPA ya mtu, mfano nikizungumzia field yangu ya uhasibu, siamin kama kuna graduate yyte atashindwa kuperform majukum yake as accounts officer II, internal auditor, accoutant or whatever ikiwa kama atapatiwa mafunzo na mwajiri wake.

Buana watu sio wajinga buana [emoji16] ya darasan yanakuaga magum kuliko ya kazin, course km finacial management, international finance na cost accounting zimetutoa jasho wee lkn tumefaulu afu uje unambie siwezi ku reconcile bank statement au ku record cash reciepts and payments kazini?
 
Atakuwa alifanya interview za maafisa hesabu sio kufanya interview za tax management officer then upangiwe kuwa mhasibu wa halimashauri
Kwan haiwezekan kaka mtu kufanya interview ya tax management officer akawa database na akaja kupangwa halmashauri?
 
Huyo ni mwanasiasa, ilipaswa tuelewe hivi kuwa mwanasiasa kasema.

Pia kwasasa hayupo kwenye hiyo nafasi, na yupo mwingine.

Huyu mwingine huenda kashakuja na mipango yake na ile ya mtangulizi kutupwa kule. Hilo ni janga!
Bro hatuendi hivyo watanzania tufunguke.Waziri ni kiongozi mkubwa sana kaka labda hujui mandate walio nayo hawa watu, wanakaa na waziri mkuu na Raisi wakijadili mustakabli wa mambo.

Akiongea kitu waziri ndio kimeafikiwa na wakuu usidhani wanaropoka, yeye ni representative ndio maana lazima uwe mbunge kwanza, wale wamebeba dhamana kubwa kuendelea kuwaita wanasiasa haisaidii, tunatakiwa tuwabane wasipo tumiza wajibu wao ipo hivyo kaka kama hujui, eeh ni siasa hizo ni siasa hatuelewi sisi kwanza huku Afrika ndio tulivyo ingekuwa nchi za watu they are accountable.

Borison alibanwa akashikizwa akajiuzuru, yule Bimkubwa nae hata miezi miwili hakumaliza aling'atuka yaani ni hivi waziri asipo timiza wajibu anawajibishwa au ajiuzuru yeye mwenyewe, ila huku huo utamadduni haupo maana wote akili zetu sawa hee ni siasa, siasa, siasa, we are talking very important issuies sio siasa hapa kama ni mwana siasa sisi hatujui hayo anajua yeye na CCM yake hapa saizi tunangalia utendaji kwanza, hujamsikia roma anakuambia siasa ndo inaamua sukari iuzwe bei gani lazima tuwe makini na siasa other wise tutabaki kama ndege john.

Nakama huijui siasa lazima ziwe safi ndio mambo ya ende...
Mh.Waziri vijana tunaimani na wewe hata kama amehamishwa wizara bado kilio chetu kero na mambo tunayo taka tafanyiwe kazi, nimesikia ajira 45000 za budget mpya, PSRS tunaomba msimamie vizuri, Raisi anataka vijana wapate ajira ila mnamuangusha mkuu wa nchi mafungu mmeshapitishiwa mshindwe nyie, fedha zote mmeomba wabunge wamewapitishia leo hatutaki zengwe.
.
 
Hayo malalamiko nyie mnayasikiaga wapi?
Regardless of GPA ya mtu, mfano nikizungumzia field yangu ya uhasibu, siamin kama kuna graduate yyte atashindwa kuperform majukum yake as accounts officer II, internal auditor, accoutant or whatever ikiwa kama atapatiwa mafunzo na mwajiri wake. Buana watu sio wajinga buana [emoji16] ya darasan yanakuaga magum kuliko ya kazin, course km finacial management, international finance na cost accounting zimetutoa jasho wee lkn tumefaulu afu uje unambie siwezi ku reconcile bank statement au ku record cash reciepts and payments kazini?
Ni wazi inafahamika, kwa binadamu mwenye uwezo wa kawaida tu, akipewa mafunzo ya kazi husika anaifanya bila shida, linapokuja swala la ajira, lazima kupima uwezo au umahiri katika kada husika kwa njia ya sahilili.

Kufanya vizuri sahili ni zaidi ya kutimiza vigezo na kufaulu katika ngazi ya elimu husika. Hapo ndipo umuhimu wa usahili huingia.
 
Acha uoga unafunga case ya nn? Acha tutie neno kabla hujafunga[emoji16],naomba nikuulize maswali ma2.
Huko kwenye taasisi ni jambo gani hufanyika kupima ujuzi,weledi
na ubinifu ambalo psrs halipo?
Keeping in mind kwamba hua wanahusika kwenye saili na apa kanazaliwa kaswali kengne. Mfano kuna interview ya nafasi za kaz taasis x na unakuta kwenye panellists 6 basi wa4 kam sio wa5 ni wa hiyo taasis x, sasa je ni kipi kinawazuia wasifanye wanachokifanyaga kule kuupima huo ujuzi, weledi na ubunifu?
Anae sema taasisi wana usaili bora unajua wanatumia staili gani kushort list hujuani na HR, au mkuu wa idara au mkurugenzi huitwi imeisha iyo ni kujipanga2 wanaweza kujadili namna ya kuendesha saili na taasisi husika na mambo yakaenda hakuna cha usaili bora, usaili bora, una attitude ya kazi nzuri, upo energetic enough kufanya kazi maana usaili ni kitu kingine kazi ni mwendelezo system zote mpya kwa watu, ukiingia utamkuta juma, amina ,mariam atakufundisha hapa tunafanya hivi mpaka ujue huwezi ingia kule uwe unajua kila kitu au mjuaji wa mambo yote uliyajua wapi, ulifanya intern hapo au
 
Kwan haiwezekan kaka mtu kufanya interview ya tax management officer akawa database na akaja kupangwa halmashauri?
Mkuu hebu kuwa muwazi, kwa sahili ile ya TMO ni sahihi candidate kupangiwa post ya majukumu ya kihasibu?
 
Mkuu hebu kuwa muwazi, kwa sahili ile ya TMO ni sahihi candidate kupangiwa post ya majukumu ya kihasibu?
Mpaka kufanya TMO means aliqualify kwa kuwa alisoma Bcom account so if Yuko database why isiwezekane kupangwa halmashauri coz kafanya TMO sawa ila pia ni muhasibu professionally
 
Acha uoga unafunga case ya nn? Acha tutie neno kabla hujafunga[emoji16],naomba nikuulize maswali ma2.
Huko kwenye taasisi ni jambo gani hufanyika kupima ujuzi,weledi
na ubinifu ambalo psrs halipo?
Keeping in mind kwamba hua wanahusika kwenye saili na apa kanazaliwa kaswali kengne. Mfano kuna interview ya nafasi za kaz taasis x na unakuta kwenye panellists 6 basi wa4 kam sio wa5 ni wa hiyo taasis x, sasa je ni kipi kinawazuia wasifanye wanachokifanyaga kule kuupima huo ujuzi, weledi na ubunifu?
CASE OPENED

PSRS Ndio taasisi pekee duniani ambayo inageuza mtihani wa Written kuwa ORAL ndio sababu taasisi zinalalamika kuletewa vilaza.

Mchukue mtu aliyefanya kazi hata miaka minne kwenye ofisi yoyote mrudishe akafanye tena usaili PSRS hatoboi, kwanini? atahitaji tena kuingia darasani au kusoma madesa.
 
Mkuu hebu kuwa muwazi, kwa sahili ile ya TMO ni sahihi candidate kupangiwa post ya majukumu ya kihasibu?
Kwan kinachoangaliwa ni ni hasa?ni post uliofanyia interview au ni qualifications zako?coz mi nafkir kikubwa ni uwe umefaulu n if uko database basi unaweza pangwa kada inayorelate na bachelor uliyosoma
 
Taasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.

Kila taasisi ina mifumo yake ya utendaji kazi ambapo inatakiwa iwafunze watumishi wake ili waweze kuitumia kwenye kazi.

Sasa akitaka aletewe mtu anayejua hivyo vitu ambayo hana access navyo anafikiri atajifunzia wapi ili ajue? Huyo Mkurugenzi kakwama kwenye hoja yake, akae chini aiboreshe na kuiwasilisha tena
Watanzania tuliowengi ubinafsi umetuzidi. Na ndiyo maana maendeleo yetu kwenye taifa yanaenda kwa kusuasua. Hebu fikiria mtu kama huyo aliajiriwaga pasipo kufanyiwa usahili miaka hiyo.

Yani pengine alivyo-graduate tuu akapangiwa kituo cha kazi. Leo hii anataka kuwanyima fursa vijana wa kitanzania fursa ya ajira eti kisa hawapo competent. Hii si sawa naikataa kabisa, kwanza kwa wakati huu sisi kufanyiwa interview imekuwa ni double standard.

Miaka ya nyuma hakukuwa na hizo interview, huyo alitesema hivyo anatakiwa aachie kiti kumbe si kiongozi mzuri. Kiongozi mzuri ni yule aliyetayari kuwafundisha wengine kazi na kuwaanda kuja kushika nafasi kubwa hapo mbeleni.

Yeye anataka aandaliwe watu kisha atangaze nafasi za kuhamia kwenye taasisi anayoiongoza hii si sawa. Huyo kwanza mpaka muda huu ilitakiwa awe ameshawekwa pembeni hao ndo wanakwamisha maendeleo ya nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CASE OPENED

PSRS Ndio taasisi pekee duniani ambayo inageuza mtihani wa Written kuwa ORAL ndio sababu taasisi zinalalamika kuletewa vilaza.

Mchukue mtu aliyefanya kazi hata miaka minne kwenye ofisi yoyote mrudishe akafanye tena usaili PSRS hatoboi, kwanini? atahitaji tena kuingia darasani au kusoma madesa.
Umeongea vzr lakn hujatoa ushauri, labda nn kifanyike,, maana anaefanyiwa usaili inaaminika hajafanya kazi Sasa unahisi ataulizwa maswali gani kupima uelewa wake katika taasisi husika, me nafikili iko changamoto katika mifumo ya elimu, kwahiyo hapo Wala psrs asilaumiwe, hafu hichi chombo me upande wangu nakiamin kulkoni huko kwenye taasisi husika kufanya saili,
 
🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Sure mkurugenzi kazingua.

Kumtrain mfanyakazi anaona ni ishu nzito duuh!!.

Jamaa akili yake imefikia hapo.

Labda anataka apate mwanya wa kuchomeka watu wake anaowajua yeye kwenye taasisi utadhani ni yake.

Kumbe nae kaajiriwa tu muda wowote anaweza kuwa demoted [emoji1].

Kuna watu hizi taasisi za serikali wakishazioea hizo taasisi au cheo huwa wanaona kama ni mali zao binafsi[emoji1]

Recruit, train, empower, decentralize, encourage

Kazi zitaenda tu mostly walio kwenye nafasi walianza kama novice tu hawajui kitu wakapata uzoefu through years of working.

Kazi zenyewe sio rocket science basi tu wazee wanataka kufanya mambo gaonekane maziito.

Just imagine jobless wa 7 years kitaa anaweza Kosa fursa kisa mkurugenzi anataka watu wanaoijua kazi husika Sasa walifanya lini kazi.

Nchi Ina shida sana hii.
Hii nchi inaumwa mahali si bure, watanzania tunabaguana kisa tuu mmoja amewahi kuzaliwa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Data haina maana yoyote ile, ifutwe tu.
Iko hivi, sahili inavyoitishwa na kusimamiwa na mwajiri, ni mwajiri ndiye anaye-set minimum standards wa wana ajira wake wapya. Wangu mie ni kituko cha karne, mtu wa database kwa sahili ya katibu msaidizi wa bunge, kupangiwa post ya uhasibu kwa taasisi kisa tu inaonekana alifaulu sahili ya katibu msaidizi na akakosa nafasi, lakini, qualification yake ni muhasibu.

Ukitazama kwa makini, sahili ya katibu msaidizi wa bunge inapima vitu tofauti na majukumu ya uhasibu, hivyo ina apply kwa sahili nyingine.

Pili, kila taasisi hutoa mafunzo kabla ya kuanza majukumu ya kazi rasmi. Kabla ya kufika huko, taasisi husika hupendelea kuona washiriki takita sahili wanafikia viwango wanavyotaka wao, viwango hivyo, hupimwa kwa hiyo mitihani, katika meneo wanayoona wao yanafaa, kumtoa mtu database kumpeleka huko taasisi X kwa kufaulu tu usaili wa taasisi Y, ni kumnyima fursa huyu mwajiri wa taasisi X wa kupima na kujiridhisha juu ya ufaham wa huyu mtu anayeletewa.
Database ifutwe.
Aaah kumb wew point yako ni data base ifutwe? Nmekuelewa
Lkn for me, database ibakie tu na wala haina shda yyte isipokua tu warekebishe tu baadhi ya vtu ikiwemo kutoa matokeo ya oral na kutoa pdf separately zinazowatenganisha waliotoka database na wengne. Huyo alipiga interview ya katibu mahususi akapangiwa kazi ya uhasibu wew uliiona wapi maana pdf hazioneshagi huyu katokea wap au ndo zile story za "kuna mshikaji wangu"? Anyway tuachane na ilo

Kikanuni ilo lipo wazi sio sawa, ndo maana mtu aliyepiga interview ya TRA post ya tax management hawez pangiwa kaz ya uhasibu. Isipokua aliyepiga TRA post ya ICT atapangiwa kazi ya ICT taasis nyngne.

Suala la katibu mahususi kua muhasibu huo sio utaratibu na kama ilikua ivo kwel bas izo ndo connection zenyewe sasa. M langu ni lile lile tu [emoji116][emoji116]

1. Watoe matokeo ya oral

2. Watenganishe pdf la walotoka database na pdf la waliopata direct

3. Pdf la waliopata from data base waongeze refference column.
 
Back
Top Bottom