HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hamna jipya wajomba,
Kumbe watu mna siri hivi..yaan watu 10704 wamepata kazi kuanzia july hadi machi na hamsemi
Pdf si zipo sidhani kama zinafika idadi iyo.
Labda waliotwa kwenye usaili na sio placement.
 
How mkuu
Wahenga walichemka
Twende kiundani kidogo.

Jalia tupo jangwani mimi na wewe, mimi nina ⅔ ya kikombe cha maji yenye maji kwenye huo ujazo. Wewe una ½ kilo ya Tanzanite.

Wote tuna kiu na tunahutaji angalau matone 2 ya maji ili tuweze kusurvive na kila mmoja inabidi alichonacho ndio kimuokoe.

Hapo ndipo tunapokuja na msemo/methali "Punje moja ya mpunga ni bora kuliko Dhahabu"
 
Chawene kapitisha trillion 1 na point, pesa za maendeleo haizidi billion 70, Zilizo bakia bilioni900 ni Kwa ajili ya matumizi ya kawaida , POSHO,na starehe.
Kweli starehe ni gharama.

Kwa bajeti Hii lazima chawene na kiteng€ wawe mabilionea
 
Twende kiundani kidogo.

Jalia tupo jangwani mimi na wewe, mimi nina ⅔ ya kikombe cha maji yenye maji kwenye huo ujazo. Wewe una ½ kilo ya Tanzanite.

Wote tuna kiu na tunahutaji angalau matone 2 ya maji ili tuweze kusurvive na kila mmoja inabidi alichonacho ndio kimuokoe.

Hapo ndipo tunapokuja na msemo/methali "Punje moja ya mpunga ni bora kuliko Dhahabu"
Bwana mwifwa satement yako italeta maana kama ikiendelea zaidi kwa hapo ilipo bado haielezi punje ya mchele katika mazingira yapi na dhahabu katika mazingira yapi.

Kama mchangiaji alivyosema awali wenda ulitaka kumaanisha dhahabu ambayo unaitarajia si bora kuliko mchele ulionao mkononi, IDK man
 
Hata kama unayo hiyo dhahabu mkononi halafu upo kwenye hali ya Jangwani(kama nilivyotolea mfano), Je, itakufaa kwa wakati huo? Ukitaka uibadili iwe punje ya mchele itakuchukua muda.

Bila shaka umenipata
 
Twende kiundani kidogo.

Jalia tupo jangwani mimi na wewe, mimi nina ⅔ ya kikombe cha maji yenye maji kwenye huo ujazo. Wewe una ½ kilo ya Tanzanite.

Wote tuna kiu na tunahutaji angalau matone 2 ya maji ili tuweze kusurvive na kila mmoja inabidi alichonacho ndio kimuokoe.

Hapo ndipo tunapokuja na msemo/methali "Punje moja ya mpunga ni bora kuliko Dhahabu"
Aikambe
 
Back
Top Bottom