HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaani zile ajira 1905 za mdas na LGAs bado amjamaliza hata kutoa placement mnatangaza tena ajira za MDAs and LGAs aya bwana wakubwa Mimi sina neno.
Hivi hizi walizotangaza tena kuna post ya internal auditor?kwenye tangazo naiona kwenye website siiioni !!!
 
Iv hiyo hotuba ya utumishi ni saa ngap?
Kwa sasa ni kipindi cha maswali na majibu. Ukiisha muda wa maswali na majibu nadhani ndio wizara ya utumishi na utawala bora itawasilisha makadirio ya mapato na matumizi (tunapenda kuita BAJETI).

Hivyo, tutegemee kuanzia saa tano hadi saa saba.

Kama haitakua hivyo, basi itakua kikao cha jioni (kuanzia saa kumi).
 
Utumishi kuna shida ukweli usemwe. Mawakala wake njooni mtetee.
Placement hazijatolewa zote halafu unatangaza Tena nafasi za kazi kada hizo hizo.
Hata hawaeleweki,ndo maana huwa nasema watoe placement kwa siku Moja Ili mtu ajue yumo au hayumo.
 
Niliongea hapa kwenye thread hii kuhusu hii issue kwa upande wa TRA mwaka uliopita waliofanya watu wakasema hawakukizi marks zao ndo maana kwenye placement haipo database....Ila kuna mawili tuweni wavumilivu....
1.Inaweza kuwa Kauli ya Mhagama wameifanyia kazi inamaana wamesafisha watu wote toka database kutoka tamko lake amelitoa kurudi nyuma... Sasa wanaaza upya kuweka database tusubiri Bunge leo litakuja na tamko gani..(tusipeleke lawama zote PSRS)
2.Hapa lawama ipo Utumishi(kama Baba mwenye mji hauna msimamo mzuri wa familia unategemea watoto watakuwa kweli kwenye malezi bora(PSRS).
Tuzidi kusimama na Mungu na kureceive job zilizotoka....
Mama(Rais) anania na vijana kutupa ajira ila watendaji wake sijui niseme neno gani.....
Sema TU kwanba wizara na PSRS Kuna kutokuelewana
 
Back
Top Bottom