HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Placement za jana + new jobs ni wazi PSRS maji shingoni kuelekao vikao vya bunge leo.
Niliongea hapa kwenye thread hii kuhusu hii issue kwa upande wa TRA mwaka uliopita waliofanya watu wakasema hawakukizi marks zao ndo maana kwenye placement haipo database....Ila kuna mawili tuweni wavumilivu.

1. Inaweza kuwa Kauli ya Mhagama wameifanyia kazi inamaana wamesafisha watu wote toka database kutoka tamko lake amelitoa kurudi nyuma... Sasa wanaaza upya kuweka database tusubiri Bunge leo litakuja na tamko gani..(tusipeleke lawama zote PSRS)

2. Hapa lawama ipo Utumishi(kama Baba mwenye mji hauna msimamo mzuri wa familia unategemea watoto watakuwa kweli kwenye malezi bora(PSRS).

Tuzidi kusimama na Mungu na kureceive job zilizotoka. Mama(Rais) anania na vijana kutupa ajira ila watendaji wake sijui niseme neno gani.....
 
Niliongea hapa kwenye thread hii kuhusu hii issue kwa upande wa TRA mwaka uliopita waliofanya watu wakasema hawakukizi marks zao ndo maana kwenye placement haipo database....Ila kuna mawili tuweni wavumilivu....
1.Inaweza kuwa Kauli ya Mhagama wameifanyia kazi inamaana wamesafisha watu wote toka database kutoka tamko lake amelitoa kurudi nyuma... Sasa wanaaza upya kuweka database tusubiri Bunge leo litakuja na tamko gani..(tusipeleke lawama zote PSRS)
2.Hapa lawama ipo Utumishi(kama Baba mwenye mji hauna msimamo mzuri wa familia unategemea watoto watakuwa kweli kwenye malezi bora(PSRS).
Tuzidi kusimama na Mungu na kureceive job zilizotoka....
Mama(Rais) anania na vijana kutupa ajira ila watendaji wake sijui niseme neno gani.....
wameifanyia kazi tamko la mhagama kiaje,fafanua mzee??
 
Back
Top Bottom