Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,110
- 4,133
Hapo ndio umeeleza kitu sasa ongeza neno jangwani au mazingira yoyote ambayo dhahabu haina kazi sababu nikiwa na dhahabu kariakoo punje ya mchele ya nini mimi mwifwa.Hata kama unayo hiyo dhahabu mkononi halafu upo kwenye hali ya Jangwani(kama nilivyotolea mfano), Je, itakufaa kwa wakati huo? Ukitaka uibadili iwe punje ya mchele itakuchukua muda.
Bila shaka umenipata