mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
nahisi amefananisha avatar kwenye ule uzi wa sensa,kuna jamaa alikua anajiita mto wa mbuu.Aisee nadhani umenifananisha! Sijawahi kutukana JF au umefananisha Avatar nn?
nahisi amefananisha avatar kwenye ule uzi wa sensa,kuna jamaa alikua anajiita mto wa mbuu.Aisee nadhani umenifananisha! Sijawahi kutukana JF au umefananisha Avatar nn?
Hamna noma Champs Inshallah ikawe kheri[emoji120]yaah mkuu hapa nawasubiria WCF washortlist
Hivi kama umepangiwa kazi usipoenda inakuaje??
''Punje moja ya mpunga ni bora kuliko dhahabu"
Ni kama kuna mtu PSRS anafanya makusudi maana vijana wametupwa Kakonko, wangingombe, makete, Mbinga n.k [emoji23] mimi binafsi ningependa kazi ya kuniboost kunisapoti kwenye kile ambacho nakifanya sio kuvuruga kabisa. Siwasemei wengine we angalia mzani wako mi napenda business in big towns from day one.Kuna watu wako intern kwenye taasisi zenye asali original, alafu PSRS Kwa bahati mbaya wamewapeleka wilayan, Yan [emoji23] kama nawaona vile ,
Izi asali Zina utani na SS , kama zinakuja Ivi afu Zina kataaaNi kama kuna mtu PSRS anafanya makusudi maana vijana wametupwa Kakonko, wangingombe, makete, Mbinga n.k [emoji23] mimi binafsi ningependa kazi ya kuniboost kunisapoti kwenye kile ambacho nakifanya sio kuvuruga kabisa. Siwasemei wengine we angalia mzani wako mi napenda business in big towns from day one.
Again sina maana ya kuwavuruga wengine, I am just saying, from my current location to kakonko would destroy everything i started nilivokuwa jobless.
Guess what kuna wengine wapo interested na fursa kama kilimo au wanapenda tu mazingira ya rural hiyo ni asali kwao.
Asali zitakuja nyingi mpaka zitawalevyaIzi asali Zina utani na SS , kama zinakuja Ivi afu Zina kataaa
[emoji3516]Ni kama kuna mtu PSRS anafanya makusudi maana vijana wametupwa Kakonko, wangingombe, makete, Mbinga n.k [emoji23] mimi binafsi ningependa kazi ya kuniboost kunisapoti kwenye kile ambacho nakifanya sio kuvuruga kabisa. Siwasemei wengine we angalia mzani wako mi napenda business in big towns from day one.
Again sina maana ya kuwavuruga wengine, I am just saying, from my current location to kakonko would destroy everything i started nilivokuwa jobless.
Guess what kuna wengine wapo interested na fursa kama kilimo au wanapenda tu mazingira ya rural hiyo ni asali kwao.
LGA&MDA wamemwaga zingine huko, Aya wale wa law, eng. Na kilimo nk. Kazi kwenuAsali zitakuja nyingi mpaka
Yaani inachekesha ila sometime kwa nje ila Moyoni inauma sana unataka ajira halafu kuna watu wameshafanya interview zaidi ya miezi mitano na bado huwapi placement sasa kuna faida gani ya kutangaza kazi kama free space za kuweka watu hamnaYaani zile ajira 1905 za mdas na LGAs bado amjamaliza hata kutoa placement mnatangaza tena ajira za MDAs and LGAs aya bwana wakubwa Mimi sina neno.
Akakomae tu, hamna namna!Kuna jamaa walifanya oral ASA wametoka database to halmashauri.
Yaani zile ajira 1905 za mdas na LGAs bado amjamaliza hata kutoa placement mnatangaza tena ajira za MDAs and LGAs aya bwana wakubwa Mimi sina neno.
Itakuwa waliobakia hawakufaulu oral na hawapo database labda. Nimewaza ivyomatangazo ya ajira mpya wakati huo huo hujamalzana na new placement, kwa kweli siasa nyingi ila utekelezaji unasua sua mno
Huu ndio uhalisiaItakuwa waliobakia hawakufaulu oral na hawapo database labda. Nimewaza ivyo