HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Asa kama wameongeza uhai wa kanzidata hadi miezi 12 mbona hatuoni watu wakiajiriwa kupitia database na nafasi zinarudiwarudiwa kutangazwa mfano accountant na mawakili si juzi Tu LGA wamefanya usahili ina maana kanzidata hawapo au hawakufaulu
Mfano brela mwaka Jana kipind kama Hiki walifanya usahili asa kweli wamekosa mtu mmoja database akapangwa hiyo licencing officer.
Tukirud PDF la database la waziri mhagama mbona toka February hawajatoa
Yan psrs Wana mapungufu na vijana tunateseka Bora hiyo database iwekwe wazi ijulikane kina nani wapo na waliofaulu oral sababu ni Giza Nene
Sawa tunakubali michakato ya ajira zote iwe chini ya psrs kuepusha nepotism na ukanjanja Ila psrs wajirekebishe wasiturudishe rudishe Dodoma kila siku kufanya sahili ambazo naamini database watu wapo
Hii inatia mashaka sana
 
vibali vilivyotoka- 37,000
waliopelekwa kazini- 10,000
asilimia 27 tu ya vibali vilivyotolewa
Inamaana bado ajira 27,000 kwa mwaka budget 2022/2023 ambao June unaisha.

+Tamko Pdf (data base) Mh.Mhagama 1,700+ (kiporo) kwa budget ya mwaka 2021/2022.

Tuje kwenye hoja: Kuna mamber humu kwenye thread wanasema Data base Mhagama inatoka kidogo kidogo Hakuna ushaidi(fumbo)kumbe tunaakiba nyingi ya watu Wanahitajika....

Huku Waziri Mh.mhagama anasema feb tunawapangia Bestlooser vituo vya kazi Nako Fumbo mpk sasa....[emoji25][emoji25][emoji25]
Bestlooser tunapita kwenye sintofahamu kubwa sana....Tuzidi kumuombea Mama(rais) labda Fumbo atalifumbua
Mungu amsimamie !!!!
 
Asa kama wameongeza uhai wa kanzidata hadi miezi 12 mbona hatuoni watu wakiajiriwa kupitia database na nafasi zinarudiwarudiwa kutangazwa mfano accountant na mawakili si juzi Tu LGA wamefanya usahili ina maana kanzidata hawapo au hawakufaulu
Mfano brela mwaka Jana kipind kama Hiki walifanya usahili asa kweli wamekosa mtu mmoja database akapangwa hiyo licencing officer.
Tukirud PDF la database la waziri mhagama mbona toka February hawajatoa
Yan psrs Wana mapungufu na vijana tunateseka Bora hiyo database iwekwe wazi ijulikane kina nani wapo na waliofaulu oral sababu ni Giza Nene
Sawa tunakubali michakato ya ajira zote iwe chini ya psrs kuepusha nepotism na ukanjanja Ila psrs wajirekebishe wasiturudishe rudishe Dodoma kila siku kufanya sahili ambazo naamini database watu wapo
Mzee Baba kuna vitu inabidi tuwe wa pole kuna mambo yanafanyika kinyume na utaratibu kabisa.Ilala naona malengo mazuri kabisa ya mkuu wa nchi, vibali vinatolewa ila usimamizi wa mchakato wa ajira na namna ya kuingia kwenye system kuna watu wamefanya kama kilakitu chakwao, wanaweka watu wao, hawafuati kanuni zinazo waongoza, wanafanya kazi kimazoea hawajui kuwa kuna kesho wao umri umeenda ndg zao wataingiaje kwenye asali baada ya wao kutoka hawafikirii.

Wenzetu mataifa mengine wapo serious na ajira ambae anasifa anapewa bila konakona. Sasa ajira ilitangazwa mwaka jana tena may na june hii ni April na itafika july watu hata kazini hawajaitwa huu ni uzembe na ni magumashi ambayo Psrs hawana majibu ya kutupa tuwaelewe.Mambo ni nyoronyoro kama jongoo, yaani mwaka mzima wa fedha unasubiria kazi daah inaunmiza sana.

Hawa jamaa ifike sehemu wawe reliable mambo sijui paper limevuja, cjui nani alikuwa na maswali kabla ya interview, mara mnasubiri placement mwanka mzima tatizo ni nini.Mnajua data zote ni taasisi gani, wilaya gani zinataka watumishi kibali kipo tayari sasa siasa yanini kwenye hayo mambo,mkielemewa mseme muongezewe wataalam, nina hofu PSRS hamana wataalam wakutosha, Miundo mbinu na procedure zenu bado sana.

Maana kama una wataalam, professionals na watu wenye uzoefu hamuwezi enda hivyo. Hapo nimezungumzia wataalam wakutosha
Watu wa ICT tena Cerified IT ambao wapo current, watu wa mitihani maana hata paper zenu hazieleweki kesho hivi kesho vile ni vile mnajisikia kufanya au mtu kaamka anasema hii paper iwe hivi hamna utaratibu, tuna taka ethics za kazi yenu zizingatiwe.

Punguzeni mlolongo, mambo ya vikako kila siku vikao mambo yapo wazi yanawapunguzia ufanisi wa kazi. Data base Data base ifanye kazi ,vijana tumechoka kurudi kufanya mausaili kila muda bila sababu. Leo mmetangaza wataalam wa maendeleo ya jamii lakini mnao wengi kwenye data base si walifanya mwaka jana usaili mmewaita wale wote, wapeni kazi madogo mtu kama amefaulu chuo na anaweza kujieleza kamati ya usaili imempa atleast passmark ya 50 mpeni kazi huo ndo utaratibu na ndio sheria, na kanununi inataka, tena mapaka waishe wote kwenye kanzi data ndio mtangaze..kuita kwenye usaili watu wanatoka tunduma, rombao, tarakea mwingine mbjnga, mwingine sengerema, nduta, nyasa, ludewa mnawatesa watoto wa watu provided hawana kazi za msingi za kuwainguzia kipato cha hayo magharama.

Hayo lazima tuongee na tutaongea mpaka kieleweke maana hiyo ni haki ya kila mtanzania .
 
Mzee Baba kuna vitu inabidi tuwe wa pole kuna mambo yanafanyika kinyume na utaratibu kabisa.Ilala naona malengo mazuri kabisa ya mkuu wa nchi, vibali vinatolewa ila usimamizi wa mchakato wa ajira na namna ya kuingia kwenye system kuna watu wamefanya kama kilakitu chakwao, wanaweka watu wao, hawafuati kanuni zinazo waongoza, wanafanya kazi kimazoea hawajui kuwa kuna kesho wao umri umeenda ndg zao wataingiaje kwenye asali baada ya wao kutoka hawafikirii. Wenzetu mataifa mengine wapo serious na ajira ambae anasifa anapewa bila konakona. Sasa ajira ilitangazwa mwaka jana tena may na june hii ni April na itafika july watu hata kazini hawajaitwa huu ni uzembe na ni magumashi ambayo Psrs hawana majibu ya kutupa tuwaelewe.Mambo ni nyoronyoro kama jongoo, yaani mwaka mzima wa fedha unasubiria kazi daah inaunmiza sana.
Hawa jamaa ifike sehemu wawe reliable mambo sijui paper limevuja, cjui nani alikuwa na maswali kabla ya interview, mara mnasubiri placement mwanka mzima tatizo ni nini.Mnajua data zote ni taasisi gani, wilaya gani zinataka watumishi kibali kipo tayari sasa siasa yanini kwenye hayo mambo,mkielemewa mseme muongezewe wataalam, nina hofu PSRS hamana wataalam wakutosha, Miundo mbinu na procedure zenu bado sana.
Maana kama una wataalam, professionals na watu wenye uzoefu hamuwezi enda hivyo. Hapo nimezungumzia wataalam wakutosha
Watu wa ICT tena Cerified IT ambao wapo current, watu wa mitihani maana hata paper zenu hazieleweki kesho hivi kesho vile ni vile mnajisikia kufanya au mtu kaamka anasema hii paper iwe hivi hamna utaratibu, tuna taka ethics za kazi yenu zizingatiwe.
Punguzeni mlolongo, mambo ya vikako kila siku vikao mambo yapo wazi yanawapunguzia ufanisi wa kazi.
Data base Data base ifanye kazi ,vijana tumechoka kurudi kufanya mausaili kila muda bila sababu. Leo mmetangaza wataalam wa maendeleo ya jamii lakini mnao wengi kwenye data base si walifanya mwaka jana usaili mmewaita wale wote, wapeni kazi madogo mtu kama amefaulu chuo na anaweza kujieleza kamati ya usaili imempa atleast passmark ya 50 mpeni kazi huo ndo utaratibu na ndio sheria, na kanununi inataka, tena mapaka waishe wote kwenye kanzi data ndio mtangaze..kuita kwenye usaili watu wanatoka tunduma, rombao, tarakea mwingine mbjnga, mwingine sengerema, nduta, nyasa, ludewa mnawatesa watoto wa watu provided hawana kazi za msingi za kuwainguzia kipato cha hayo magharama.

Na kwanini ili swali wanalikwepa, kwanini wanachukua Mda mrefu kuita watu kazini?
 
Hanawana majibu ya kujibu hiyo hoja ya msingi wanabaki kuzuga, nakama wana changamoto labda wanapresent kwa mabosi zao nasisi tunataka hayo machapisho yao ya mwisho wa mwaka, we have the same interest as Stakeholders,wanatakiwa wahakikishe tarifa zinatufukia sisi ambao tupk huku nduta Kigoma
 
Na kwanini ili swali wanalikwepa, kwanini wanachukua Mda mrefu kuita watu kazini?
Amini nakuambia watumishi 23000 wa tamisemi kufikia July na Aug wote watakuwa wopo vituo vya kazi ila wakwo wao sasa hata kuitwa usaili watakuwa bado, hesabu siku siwatanfaza leo MDA na LGA hao ni mwakani mwezi kam huu ndio watalamba asali si tupo, tuombe uzima mtaniambia kwamba hawa jamaa wana speed ya kinyonga, tena kinyonga bora anamwendo....
 
Naomba ilo jina la best looser liache kutumika kwa sababu linatushushia thamani na kutufanya tuonekane inferior nawasilisha hoja..kiukweli nalichukia sana
Hoja imepita bila kupingwa, sio jina zuri kabisa kutumika
 
Mzee Baba kuna vitu inabidi tuwe wa pole kuna mambo yanafanyika kinyume na utaratibu kabisa.Ilala naona malengo mazuri kabisa ya mkuu wa nchi, vibali vinatolewa ila usimamizi wa mchakato wa ajira na namna ya kuingia kwenye system kuna watu wamefanya kama kilakitu chakwao, wanaweka watu wao, hawafuati kanuni zinazo waongoza, wanafanya kazi kimazoea hawajui kuwa kuna kesho wao umri umeenda ndg zao wataingiaje kwenye asali baada ya wao kutoka hawafikirii. Wenzetu mataifa mengine wapo serious na ajira ambae anasifa anapewa bila konakona. Sasa ajira ilitangazwa mwaka jana tena may na june hii ni April na itafika july watu hata kazini hawajaitwa huu ni uzembe na ni magumashi ambayo Psrs hawana majibu ya kutupa tuwaelewe.Mambo ni nyoronyoro kama jongoo, yaani mwaka mzima wa fedha unasubiria kazi daah inaunmiza sana.
Hawa jamaa ifike sehemu wawe reliable mambo sijui paper limevuja, cjui nani alikuwa na maswali kabla ya interview, mara mnasubiri placement mwanka mzima tatizo ni nini.Mnajua data zote ni taasisi gani, wilaya gani zinataka watumishi kibali kipo tayari sasa siasa yanini kwenye hayo mambo,mkielemewa mseme muongezewe wataalam, nina hofu PSRS hamana wataalam wakutosha, Miundo mbinu na procedure zenu bado sana.
Maana kama una wataalam, professionals na watu wenye uzoefu hamuwezi enda hivyo. Hapo nimezungumzia wataalam wakutosha
Watu wa ICT tena Cerified IT ambao wapo current, watu wa mitihani maana hata paper zenu hazieleweki kesho hivi kesho vile ni vile mnajisikia kufanya au mtu kaamka anasema hii paper iwe hivi hamna utaratibu, tuna taka ethics za kazi yenu zizingatiwe.
Punguzeni mlolongo, mambo ya vikako kila siku vikao mambo yapo wazi yanawapunguzia ufanisi wa kazi.
Data base Data base ifanye kazi ,vijana tumechoka kurudi kufanya mausaili kila muda bila sababu. Leo mmetangaza wataalam wa maendeleo ya jamii lakini mnao wengi kwenye data base si walifanya mwaka jana usaili mmewaita wale wote, wapeni kazi madogo mtu kama amefaulu chuo na anaweza kujieleza kamati ya usaili imempa atleast passmark ya 50 mpeni kazi huo ndo utaratibu na ndio sheria, na kanununi inataka, tena mapaka waishe wote kwenye kanzi data ndio mtangaze..kuita kwenye usaili watu wanatoka tunduma, rombao, tarakea mwingine mbjnga, mwingine sengerema, nduta, nyasa, ludewa mnawatesa watoto wa watu provided hawana kazi za msingi za kuwainguzia kipato cha hayo magharama.
Hayo lazima tuongee na tutaongea mpaka kieleweke maana hiyo ni haki ya kila mtanzania .
Natamani hii post yako itoke gazetini aisee imejaa madini sana
 
Asa kama wameongeza uhai wa kanzidata hadi miezi 12 mbona hatuoni watu wakiajiriwa kupitia database na nafasi zinarudiwarudiwa kutangazwa mfano accountant na mawakili si juzi Tu LGA wamefanya usahili ina maana kanzidata hawapo au hawakufaulu
Mfano brela mwaka Jana kipind kama Hiki walifanya usahili asa kweli wamekosa mtu mmoja database akapangwa hiyo licencing officer.
Tukirud PDF la database la waziri mhagama mbona toka February hawajatoa
Yan psrs Wana mapungufu na vijana tunateseka Bora hiyo database iwekwe wazi ijulikane kina nani wapo na waliofaulu oral sababu ni Giza Nene
Sawa tunakubali michakato ya ajira zote iwe chini ya psrs kuepusha nepotism na ukanjanja Ila psrs wajirekebishe wasiturudishe rudishe Dodoma kila siku kufanya sahili ambazo naamini database watu wapo
mbunge wa sumve kauliza; "kama database ipo, kwanini wanaitisha usaili upya kwa hizo kada ambazo saili zimeshafanywa hapo awali?"
 
tumepachikwa mkuu na waliopata direct placement aka nyingine tunaitwa second selection
Hilo jina limeibuliwa hapa kati wakati lawama kuhusu PSRS zilipopamba moto, tena baada ya ishu za status kuyeyuka.

Hata sisi tuliopata nafasi tulipachikwa kuwa ni Mawakala wa PSRS, wengi wanaopachika haya majina ya utani ni wale ambao bado kwa sababu wengi wanaopata nafasi huondoka humu au kukaa kimya.
 
sikupingi afsa
 
Back
Top Bottom