Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,754
- 10,034
May be tumezingua kweli 😃😃😃The same to me ,mpaka unajiona mybe ulizinguq
May be tumezingua kweli 😃😃😃The same to me ,mpaka unajiona mybe ulizinguq
umeiva mzee wa renewable contractsHakuna ugomvi wala matusi humu, bado wote ni wasaka mirija hatujafika Mkuu, na hata kama tungekuwa tumefika bado tuna jukumu la kuwapa morali wenzetu
naimani nilifanya vizuri ,time itaamua na imani itatuponya. japo sio kwa msoto huu wa kitaaMay be tumezingua kweli 😃😃😃
mamaaHalmashauri sio asali, Ile ni Posho tu ya kula
Usijali mzee baba, Mungu atasikia kilio chako, PDF inayokuja am not sure ila i believe jina lako litakuwepo.naimani nilifanya vizuri ,time itaamua na imani itatuponya. japo sio kwa msoto huu wa kitaa
Thank u champUsijali mzee baba, Mungu atasikia kilio chako, PDF inayokuja am not sure ila i believe jina lako litakuwepo.
mzee baba wengi wanaoponda halmashauri hawajapata bado nafas serikalin so wanaponda ili waliopata wajifeel inferior. MIMI HATA NIKIBAHATIKA HALMASHAURI YA SITIMBI NAENDA TENA KWA FURAHA TELE.mamaa
utakuta unaongea hivi ila kula yako tu ni MUNGU saidia.
mliopata halmashauri kapigeni kazi,achaneni na stori za hapa kijiweni. transfer vacancy zipo na znatoka daily ,so mnaweza shift job.
nakushauri uende kijana.mzee baba wengi wanaoponda halmashauri hawajapata bado nafas serikalin so wanaponda ili waliopata wajifeel inferior. MIMI HATA NIKIBAHATIKA HALMASHAURI YA SITIMBI NAENDA TENA KWA FURAHA TELE.
yah mimi naenda mzee baba. soko la ajira lilivyokuwa gumu afu unakuta mtu anasema halmashaur haendi.nakushauri uende kijana.
Ambae hataki kwenda halmashauri ujue hana njaa huyo ana sehemu anaingiza kipato.
Hata mimi nilikuwa siombi kazi za halmashauri Lkn nilikuwa na sehemu ya kujiingizia kipato.
Wanakimbizana na malalamiko wadau kuchelewa kutoa placement za kazi kufika 19/4/2023 budget wizara wasiwe na viporo vya nyuma.....Alafu pale N/Waziri anaposimama Bungeni anasema lile Data base(Mhagama) vijana wangu(bestlooser) nimelipokea kwa furaha ..................(kwenye kumalizia sentence hiyo Tuzidi kuomba sanaa Mungu hatatuacha)hahaa mkuu , wiki ya pdf hii mkuu.hata leo kibuyu changu kinaniambia siku haijaisha hii
Mungu atakusaidia na utapata mkuumzee baba wengi wanaoponda halmashauri hawajapata bado nafas serikalin so wanaponda ili waliopata wajifeel inferior. MIMI HATA NIKIBAHATIKA HALMASHAURI YA SITIMBI NAENDA TENA KWA FURAHA TELE.
''Punje moja ya mpunga ni bora kuliko dhahabu"Halmashauri sio asali, Ile ni Posho tu ya kula
Are you sure? Au unamaanisha Bora punje ya mpunga mkononi kuliko dhahabu usiyojua ilipo na utapata lini?''Punje moja ya mpunga ni bora kuliko dhahabu"
Are you sure? Au unamaanisha Bora punje ya mpunga mkononi kuliko dhahabu usiyojua ilipo na utapata lini?
How mkuuHiyo methali ipo applicable kwenye mazingira magumu
Yeah kwa dalili hizo inaonesha mwezi wa 4 hauishi tushalamba asaliMambo mazuri yanakuja, matumaini makubwa mno, izo pdf zinavyotoka zinanipa nguvu sana hakika naamin tutalamba asali
Aisee nadhani umenifananisha! Sijawahi kutukana JF au umefananisha Avatar nn?Yes ni kweli
Ila kule kwa ile thread ulikua unatukana sana na kina Mpwayungu so nikasema usilete hizo tabia huku
Am sorry kama nitakua nimekuboa but i have to say this
Hakuna namna Mzee Baba, Ngoja tuendelee kurenew hizi contracts mpaka watakapotufukuza kazi.. As long as bado ni kwenye utumishi basi ngoja tuendelee kupiga mak tym..umeiva mzee wa renewable contracts
yaah mkuu hapa nawasubiria WCF washortlistHakuna namna Mzee Baba, Ngoja tuendelee kurenew hizi contracts mpaka watakapotufukuza kazi.. As long as bado ni kwenye utumishi basi ngoja tuendelee kupiga mak tym..