mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
pamoja damu yanguYes ur right 💯
pamoja damu yanguYes ur right 💯
Hao IT wako wapi mkuu?Kila siku pdf ni watu uhasibu ,IT , uchumi na kilimo ,wtf .
Mkeka umetiki ipasavyohata leo pdf inaweza tema nina 45%
kesho uhakika ni 100%
Mzee wa ku bet, eeh lini tena unaipa chance ya kutokea mkeka!?pamoja damu yangu
TANAPA moja wapo watatoa Data base kwa waliowqhi kufanya usahili waoHuko wengi wataenda ila nina taarifa kuna taasisi tatu nzuri tu zimeridhia kupewa watu toka database wiki iliyoisha kwahiyo sijajua na wala informer wangu hajajua uharaka wao katika kuchukua watu hao, Karibuni Dodoma
Halafu mbona ni fani hizo hizo tu uhasibu ,IT kilimo ,ina maana hamna mahitaji ya fani nyingine kwenye taasisi na mashirika ya uma ? Au ndio kukariri
Na TANAPA pia bado hawajatangaza ajiraMpaka muda huu sijaona watu waliopangiwa NSSF, PSSSF, TANROADS, TANESCO n.k
Ina maana haya mashirika hayana upungufu wa wafanyakazi??
yametimia sasa.Tarehe 19 na 20 ni bajeti ya wizara ya OR menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora...naomba nipige ramli kama ndugu mfwende sawadogo asemavyo adhani kesho au keshokutwa watakuja na mpdf zimamoto na nadhan ndio ilikuwa target yao...maana najua kabisa watakutana na maswali kuhusu bajeti ya ajira mpya iliyopitishwa mwaka jana imetumika vipi wakati haijafikia malengo.
Note tena kwa msisitizo:
Wale wenye namba za wabunge wetu naomba tuwasisitize juu ya hili,kabla hawajapitisha hiyo bajeti ombwa inabidi wahoji juu ya bajeti iliyopita maana kila mwaka watakuwa wanapitisha data za kupikwa.
Mjuzi wa uandishi mzuri wa sms aidraft kila mmoja amtumie mbunge wake au anayemfahamu.
Leo mbona washaachia hukoWataalamu wa kutabiri pdf nyengine lini tena
Hahaha ni taasisi bwanaTunafikiria Kumwambia IT abadilishe kichwa cha habari pale aondoe taasisi mbalimbali aweke TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI MBALI MBALI [emoji125]
Na huku MDAs siyo kwamba nafasi hakuna nashangaa tu watu hawapelekwi ndo maana nikatolea mfano hapo NSSSF, PSSSF, TANESCO, NHIF, TANROADS n.kKutokana na hizi pdf za LGA & MDA.. nime-experience kuwa ukiona tangazo la kazi utumishi ambapo Mwajiri ni LGA & MDA basi fahamu kuwa 99% ni LGA(local gvt Authority) tu na si vinginevyo... Ni wachache sana wanaweza kupelekea MDA...
Wale wasiopenda Halmashauri kwa kweli hapo hamna namna watu wanadropiwa huko Mawilayani
Kwel kabisa maana Kuna watu tulfanya katika fani ambazo hazipo katika Halmashauri tunategemea kwenye mataasisi so akiandika hvo atatusaidie tusipoteze hata MBs zetu😂😂😂Tunafikiria Kumwambia IT abadilishe kichwa cha habari pale aondoe taasisi mbalimbali aweke TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI MBALI MBALI 🏃
Kila jambo kwa wakati wake boss, zamu za huko MDA's zipo njianiNa huku MDAs siyo kwamba nafasi hakuna nashangaa tu watu hawapelekwi ndo maana nikatolea mfano hapo NSSSF, PSSSF, TANESCO, NHIF, TANROADS n.k
MDAs nilizoziona ni za Wizara na Mashirika yasiyozidi hata manne..