HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mawakala miyeyusho sana
Dah vijana wenzangu kuna mahala mna shida sana , nahisi swala la uelewa bado ni tatizo kwa baadhi yetu, kwa maana mnacho ongelea ni irrelevant na kinachojadiliwa, sasa mifano ya kazi za ubakaji na PSRS na kupangiwa kazi Halmashauri vina uhusiano gani?

Kwa mfano PSRS wakikupangia kazi Halmashauri wanakuwa wametenda kosa gani au wamekubakaje hapo ili hali nafasi ndio zinakuwa zimepatikana huko, muda mwingine ni kuwa tu na mioyo ya shukrani inatosha sana kumshukuru Mungu pale utakapokuwa umepangiwa ndipo ridhiki yako inapokuwa imepangwa kwa wakati huo? . Maandiko matakatifu yanasema hapa chini

"Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru? " Maombolezo 3:37.

Mawakala miyeyusho sana
 
Tarehe 19 na 20 ni bajeti ya wizara ya OR menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora...naomba nipige ramli kama ndugu mfwende sawadogo asemavyo adhani kesho au keshokutwa watakuja na mpdf zimamoto na nadhan ndio ilikuwa target yao...maana najua kabisa watakutana na maswali kuhusu bajeti ya ajira mpya iliyopitishwa mwaka jana imetumika vipi wakati haijafikia malengo.

Note tena kwa msisitizo:
Wale wenye namba za wabunge wetu naomba tuwasisitize juu ya hili,kabla hawajapitisha hiyo bajeti ombwa inabidi wahoji juu ya bajeti iliyopita maana kila mwaka watakuwa wanapitisha data za kupikwa.

Mjuzi wa uandishi mzuri wa sms aidraft kila mmoja amtumie mbunge wake au anayemfahamu.
 
Kinachosikitisha ni kwamba mwanasiasa ana jibu LA kila swali
 
Back
Top Bottom