HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi ninayo namba ya mbunge wa ...., naweza kumuandikia msg ila naomba mwenye figure halisi za bajeti iloyipita utumishi na idadi ya watumishi waliopaswa kuajiliwa na uhalisia wake mi nimuandikie ujumbe sasa hivi hapa.
Bajatii ya utumishi itasomwa tarehe 19 vuta subira kaa karibu na tv siku hiyo
 
Mimi ninayo namba ya mbunge wa ...., naweza kumuandikia msg ila naomba mwenye figure halisi za bajeti iloyipita utumishi na idadi ya watumishi waliopaswa kuajiliwa na uhalisia wake mi nimuandikie ujumbe sasa hivi hapa.
Muandikie kuhusu PDF la database la waziri mhagama ilikua February watoe wakagomesha
 
Mawakala munaitana, mwambieni kiteng€ awatengee bajeti ya kutosha maana yajao yanafurahisha
Kuwa na akili kijana.Wewe msomi gani una ufikiri mdogo hivyo??? Yaani wewe unafikiri Serikali Haijui ya kuwa wakirudisha Usaili kwenye Mashirika upendeleo kama wote???..Na Kwa taarifa yako Mhe.Samia ni Mama wa kupenda Haki.PSRS ipo sana na itaendelea kuajiri.Kama wewe hujiandai na una mtazamo Hasi na PSRS utajijua mwenyewe....
 
Jamaa hajui akiendelea na tabia hii kila siku Kesho ataona wenzake wanaajiriwa kila siku yeye yupo tu.Tumshauri abadilishe Ubongo wake huo na ajitambue ajue anaatakiwa kwenda kupambana
Eti zero Yan usilolijua ni usiku wa kiza
 
Kuwa na akili kijana.Wewe msomi gani una ufikiri mdogo hivyo??? Yaani wewe unafikiri Serikali Haijui ya kuwa wakirudisha Usaili kwenye Mashirika upendeleo kama wote???..Na Kwa taarifa yako Mhe.Samia ni Mama wa kupenda Haki.PSRS ipo sana na itaendelea kuajiri.Kama wewe hujiandai na una mtazamo Hasi na PSRS utajijua mwenyewe....
Wakala karibu daku
 
Back
Top Bottom