"Vumilia, usikate tamaa, jiandae kwa sajili zijazo, kusoma iwe ratiba yako ya kila siku kama walevi wanavyokunywa pombe"@ mazaga one MIMI NITOE MAONI GANI KUHUSU PSRS MAANA HAWAJATOA PLACEMENT TOKA TUFANYE ORAL 17/5/2022
Ila laiti mngejua Halmashauri ukiwa mjanja unatoboa maisha vizuri kabisaKuna PDF huko. Leo Naona mapema sana. Halmashauri Kama kawaida
Duuu! Hii nayo kali aisee.@ mazaga one MIMI NITOE MAONI GANI KUHUSU PSRS MAANA HAWAJATOA PLACEMENT TOKA TUFANYE ORAL 17/5/2022
Duuu! Sasa si waaandike tuu za halmashauri!Kuna PDF huko. Leo Naona mapema sana. Halmashauri Kama kawaida
Ninajisikia vibaya sana kuhusu hii taasisi, sina neno lolote zuri kuwahusu"Vumilia, usikate tamaa, jiandae kwa sajili zijazo, kusoma iwe ratiba yako ya kila siku kama walevi wanavyokunywa pombe"
Mbona Kuna HR sheria nutrition BBAKila siku pdf ni watu uhasibu ,IT , uchumi na kilimo ,wtf .
Yes ur right 💯kibuyu cha babu kinaona bdo kuna pdf iko njiani tena
wazee wa ramli.
[emoji4][emoji4]Msiyempenda kaja haya tunasubiri shuhuda za kugoma kuchukua barua kwenda halmashauri.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app