HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naona mawakala wanatulazimisha Turidhike, 👆 hii post imeeka kinyonge sana
Sasa unyonge uko wapi hapo , unawezaje kuladhimisha upate kazi TCRA ili hali wewe hujipangii kwenda huko mwenyewe zaidi ya nguvu iliyo nyuma yako ambae ni Mungu mwenyezi!!, halafu hapo haijazungumziwa ishu ya kuwatetea PSRS ni mada tofauti kabisa, hapo kinachozungumziwa ni namna watu wanavyoponda ajira za Halmashauri, some times tunatakiwa kusoma mada hata mara tatu na kuilewa kabla ya kutoa maoni.
 
PSRS msipende kumuhusisha MUNGU na kazi zenu, PSRS ni nyie wenyewe ndio mnayofanya michakato na Sio Mungu.

PDF la j5 litasheheni TGS D zaku mwaga Yan 😂
 
Kazi za mikono ya wanadamu ndio kazi za Mungu utatenganishaje mambo haya?
 
Back
Top Bottom