HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
yaani mkuu ww ndio umefanya watu wanaopata kazi halmashauri wasitoe ushuhuda humu

unawakandia balaa.
Wote hatuwezi fanya kazi TCRA , pale unapopata kwa wakati huo ndipo Mungu anapaokuwa amekupangia, akitaka kukuinua atafanya njia zake atakutoa tena hapo ulipo na kukupeleka pale atakapotaka, kwa kawaida Mungu wetu ni wa utaratibu na humpa mtu ridhiki kwa mapenzi yake mwenyewe na siyo mapenzi ya wanadamu, hivyo nawashauri vijana wenzangu popote utakapopata mshukuru sana Mungu na nenda ukafanye kazi, unajua daima Mungu humuazia mwanadamu mema, anapokupangia sehemu ya kazi kwa wakati huo ujue ndio hapo alipopenda uwe kwanza , hebu jiulize unafanya saili ngapi na unakosa?

Kwa nini upate hiyo uliopata sasa?. Halafu huko halmashauri kunako semwa vibaya kwani hakuna wafanyakazi wanaofanya kazi huko? , mbona kama magari watumishi wa halmashauri wanayo, wanasomesha watoto wao katika shule nzuri tu, swala la msingi katika maisha ni kuridhika na hali na utakatifu hayo ndio mambo yanayompendeza Mungu, kwa maana bado hata ukienda huko TCRA na kwingineko usipo ridhika bado hata huo mshahara unaosema ni mkubwa bado kuna kipindi utaona hautoshi , mwisho wa siku utaingia tu kwenye madili ya upigaji.

Tusidanganyike na kauli za vijana wenzetu humu kuhusu halmashauri, ukipata Mshukuru Mungu nenda kafanye kazi kwa bidii , ukimtanguliza Mungu na kuweka jitihada katika mambo mbalimbali ikiwemo kujiendeleza kitaaluma uwe na hakika yeye aliyekupa hapo atakufanikisha zaidi na zaidi na maisha yatasonga mbele kwa ushindi kabisa.

KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA.
 
UKITAKA UISHI KWA AMANI ACHA MAMBO YA KUJILINGANISHA NA WATU
KILA MTU NA RIZKI ALIYOANDIKIWA.
Ujumbe tosha....Na usiforce riziki ya mwenzio ije kwako hii kitaluma tunaita ni ushirikina
Simama na Mungu/Muite Bwana ipo siku atafungua baraka zako ndani ya moyo usitizame mbona huyu kawai kupata...cku ukipata utamzidi mara 3 yake wakati yeye alikutangulia kwenye ajir
Kusudio la Mungu kwako hakuna mwanadamu anayeweza kuzuia
 
Wote hatuwezi fanya kazi TCRA , pale unapopata kwa wakati huo ndipo Mungu anapaokuwa amekupangia, akitaka kukuinua atafanya njia zake atakutoa tena hapo ulipo na kukupeleka pale atakapotaka, kwa kawaida Mungu wetu ni wa utaratibu na humpa mtu ridhiki kwa mapenzi yake mwenyewe na siyo mapenzi ya wanadamu, hivyo nawashauri vijana wenzangu popote utakapopata mshukuru sana Mungu na nenda ukafanye kazi, unajua daima Mungu humuazia mwanadamu mema, anapokupangia sehemu ya kazi kwa wakati huo ujue ndio hapo alipopenda uwe kwanza , hebu jiulize unafanya saili ngapi na unakosa ? Kwa nini upate hiyo uliopata sasa?. Halafu huko halmashauri kunako semwa vibaya kwani hakuna wafanyakazi wanaofanya kazi huko? , mbona kama magari watumishi wa halmashauri wanayo, wanasomesha watoto wao katika shule nzuri tu, swala la msingi katika maisha ni kuridhika na hali na utakatifu hayo ndio mambo yanayompendeza Mungu, kwa maana bado hata ukienda huko TCRA na kwingineko usipo ridhika bado hata huo mshahara unaosema ni mkubwa bado kuna kipindi utaona hautoshi , mwisho wa siku utaingia tu kwenye madili ya upigaji. Tusidanganyike na kauli za vijana wenzetu humu kuhusu halmashauri, ukipata Mshukuru Mungu nenda kafanye kazi kwa bidii , ukimtanguliza Mungu na kuweka jitihada katika mambo mbalimbali ikiwemo kujiendeleza kitaaluma uwe na hakika yeye aliyekupa hapo atakufanikisha zaidi na zaidi na maisha yatasonga mbele kwa ushindi kabisa.KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA.
1. Ridhika na kipato chako
2. Usisahau kujiendeleza
3. Ni Mapenzi ya Mungu kuwa hapo ulipo.
4.
Endeleza summary kile umejifunza kwa huyu mtumishi wa Mungu.
 
Wote hatuwezi fanya kazi TCRA , pale unapopata kwa wakati huo ndipo Mungu anapaokuwa amekupangia, akitaka kukuinua atafanya njia zake atakutoa tena hapo ulipo na kukupeleka pale atakapotaka, kwa kawaida Mungu wetu ni wa utaratibu na humpa mtu ridhiki kwa mapenzi yake mwenyewe na siyo mapenzi ya wanadamu, hivyo nawashauri vijana wenzangu popote utakapopata mshukuru sana Mungu na nenda ukafanye kazi, unajua daima Mungu humuazia mwanadamu mema, anapokupangia sehemu ya kazi kwa wakati huo ujue ndio hapo alipopenda uwe kwanza , hebu jiulize unafanya saili ngapi na unakosa ? Kwa nini upate hiyo uliopata sasa?. Halafu huko halmashauri kunako semwa vibaya kwani hakuna wafanyakazi wanaofanya kazi huko? , mbona kama magari watumishi wa halmashauri wanayo, wanasomesha watoto wao katika shule nzuri tu, swala la msingi katika maisha ni kuridhika na hali na utakatifu hayo ndio mambo yanayompendeza Mungu, kwa maana bado hata ukienda huko TCRA na kwingineko usipo ridhika bado hata huo mshahara unaosema ni mkubwa bado kuna kipindi utaona hautoshi , mwisho wa siku utaingia tu kwenye madili ya upigaji. Tusidanganyike na kauli za vijana wenzetu humu kuhusu halmashauri, ukipata Mshukuru Mungu nenda kafanye kazi kwa bidii , ukimtanguliza Mungu na kuweka jitihada katika mambo mbalimbali ikiwemo kujiendeleza kitaaluma uwe na hakika yeye aliyekupa hapo atakufanikisha zaidi na zaidi na maisha yatasonga mbele kwa ushindi kabisa.KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA.
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Back
Top Bottom