HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mkuu ko waliopiga usahili utumishi imekula kwaoo!!?
Ndy maana nimesema sina Uhakika lkn. Ni taarifa ambazo Kwa Sasa zimeshika Hatamu kuwa Zoezi la Michakato ya Ajiri lipo Juu ya Taasisi Husika

Miongoni mwa Maswali nayojiulia ni Je Kwa waliokuwa kwenye database kabla ya mabadiriko haya Hatima Yao ni Ipi?
 
Taarifa zimeshika hatamu wapi mr jobless??
 
Naona watu wengi wanaliongelea ilo Swala kuwa utokuja tena Kuona Tangazo za TRA na Taasisi nyingine Kupitia Utumishi. Hivyo ni Taarifa tu wa kuthibitisha ilo ni Serikali yetu.

Nikajaribu kuwaza Kwa Sauti Uwenda ni Kweli mbona mpk sehemu ya Advertisements nayo imekuwa na Mikausho Mikali toka tarehe 7 April na sio kawaida ya sehemu hiyo kuwa Kimya hivyo
 
Sina Uhakika lkn nasikia Utaratibu wa Taasisi kuajiri Wenyewe umerudi uwenda ndy umesababisha Uhaba wa PDF hata vya mchongo kuwepo
Umesikia wapi? Na taasisi gan umeona imetangaza kazi permanent yenyewe? Swala la psrs kuendesha michakato ya ajira kwa niaba ya waajiri wa ofisi za umma lipo kisheria, so taasisi kuajiri zenyewe ni hadi mswada upelekwe bungeni ili sheria ifanyiwe marekebisho
 
Tuendelee Kusubiri lkn ungekuwepo kitambo nahisi ungeshanga maana Mi Piah nilikuwa sio Muumini wa kutaka Taasisi Binafsi kujiajiri Wenyewe lkn hiyo issue nimeisikia wadau wengi kwenye Group la Tax Consultant wakiwa wanaliongelea as Ukija na ukimya wa Placement wiki ss kawaida
 
Naona watu wengi wanaliongelea ilo Swala kuwa utokuja tena Kuona Tangazo za TRA na Taasisi nyingine Kupitia Utumishi. Hivyo ni Taarifa tu wa kuthibitisha ilo ni Serikali yetu.

Nikajaribu kuwaza Kwa Sauti Uwenda ni Kweli mbona mpk sehemu ya Advertisements nayo imekuwa na Mikausho Mikali toka tarehe 7 April na sio kawaida ya sehemu hiyo kuwa Kimya hivyo
Kiongoz unataka kuwe na advertisement wakati nafasi zilizo waz hakuna, then tarehe 7 April ni juz tu, kumbuka kulikua na sikukuu hapo kati.
 
Lkn ukumbuke Raisi alishawai kuongea kuhusu ucheleweshwaji wa Ajiri na alisema km Kazi ni Ngumu bhs Taasisi ziajiri Wenyewe ss yote ni Maneno ndy maana nikasema Sina Uhakika tuishi humo Sina Uhakika tusubiri Siku za usoni km itawekwa wazi
 
Aliongelea kuhusu ajira za mkataba wa muda maalum, na hilo lishaanza kutekelezeka
 
Naona watu wengi wanaliongelea ilo Swala kuwa utokuja tena Kuona Tangazo za TRA na Taasisi nyingine Kupitia Utumishi. Hivyo ni Taarifa tu wa kuthibitisha ilo ni Serikali yetu.

Nikajaribu kuwaza Kwa Sauti Uwenda ni Kweli mbona mpk sehemu ya Advertisements nayo imekuwa na Mikausho Mikali toka tarehe 7 April na sio kawaida ya sehemu hiyo kuwa Kimya hivyo
hapa katikati mkuu palikua na sikukuu mbalimbali za kidini
 
Nilikosa tamisemi mwaka 2021 na 2022 huku baadhi ya classmate wakilamba ile Asali, nilikuwa nasikitika sana.

Ila Mungu ni mwema, hayo yote kwa sasa kama hayajawahi kutokea
Kweli mkuu ajira kama za tamisemi ni bahati na connection hakuna kipimo halisi cha kushindanisha wasahiliwa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mmh hii Kali,kuna ajira zimetangazwa tangu mwaka Jana mwezi wa tano maana yake kibali kilishatoka cha kuajiri kutoka kwa katibu mkuu unataka kusema hazikuwekewa bajeti zije kutegemea bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024?

Hivi unajua kua kibali kinaweza kuwa suspended au revoked kabisa??
 
Ndy maana nimesema sina Uhakika lkn. Ni taarifa ambazo Kwa Sasa zimeshika Hatamu kuwa Zoezi la Michakato ya Ajiri lipo Juu ya Taasisi Husika

Miongoni mwa Maswali nayojiulia ni Je Kwa waliokuwa kwenye database kabla ya mabadiriko haya Hatima Yao ni Ipi?
Hamna hicho kitu, haawezi kufanya hivyo kwa taasisi zote na usidhani kuwa nirahisi hivyo mpaka vifungu kisheria vibadilishwe.Utumishi imepewa malaka kisheria .Msiandike hadithi bila ushahidi ambao hauna mashaka. Unatakaiwa kuongea vitu ambavyo mtu atakuelewa kirahisi,tusidiscuss vitu kama ni form 4 au lasaba B
 
Maswali ya Wabunge (Tamisemi) leo Bungeni!!!
Mh.mbunge Ng'was Kamani..Leo kauliza bungeni tunauhakika gani hao waliopo kwenye kanzi data? Je Kama watu wanawatolea mfukoni? Kwann yasiwekwe wazi kwamba waliopo kwenye kanzi data Ni hao so kilatu anakuwa anajijua yeye Ni mtu wa ngapi so nafasi zikitangazwa anajua Mimi nimefkiwa kutokana na nanafi zilizotangazwa...[emoji91][emoji91][emoji91]
Kwa Utumishi sijui maswali yake yatakuaje!!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nishasema database ni kichaka
 
Back
Top Bottom