HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Siku watoe pdf ina page hata 30 tu watu wengi wajue hatama zao,kuna wengine wanafanya kazi kwa wahindi na wachina huko wanashindwa kurenew mikataba yao kwa matarajio maana hawana hela ya kuja kulipa kuvunja mikataba.
Kikubwa uvumi
 
Ni mwendo wa kupiga ramli tu
Maswali ya Wabunge (Tamisemi) leo Bungeni!!!
Mh.mbunge Ng'was Kamani..Leo kauliza bungeni tunauhakika gani hao waliopo kwenye kanzi data? Je Kama watu wanawatolea mfukoni? Kwann yasiwekwe wazi kwamba waliopo kwenye kanzi data Ni hao so kilatu anakuwa anajijua yeye Ni mtu wa ngapi so nafasi zikitangazwa anajua Mimi nimefkiwa kutokana na nanafi zilizotangazwa...[emoji91][emoji91][emoji91]
Kwa Utumishi sijui maswali yake yatakuaje!!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
kauliza leo mkuu, kuhusu database? na vp clip ipo youtube?
 
Maswali ya Wabunge (Tamisemi) leo Bungeni!!!
Mh.mbunge Ng'was Kamani..Leo kauliza bungeni tunauhakika gani hao waliopo kwenye kanzi data? Je Kama watu wanawatolea mfukoni? Kwann yasiwekwe wazi kwamba waliopo kwenye kanzi data Ni hao so kilatu anakuwa anajijua yeye Ni mtu wa ngapi so nafasi zikitangazwa anajua Mimi nimefkiwa kutokana na nanafi zilizotangazwa...[emoji91][emoji91][emoji91]
Kwa Utumishi sijui maswali yake yatakuaje!!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
na utumishi itakua lini mkuu, bajeti yao lini inasomwa na vipi inakuwa live muda gani??
 
Itakuwa wanaanda Pdf (Mhagama) kubwa kuelekea mwaka wa budget 2023/2024....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mmh hii Kali,kuna ajira zimetangazwa tangu mwaka Jana mwezi wa tano maana yake kibali kilishatoka cha kuajiri kutoka kwa katibu mkuu unataka kusema hazikuwekewa bajeti zije kutegemea bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024?
 
Psrs wanabana kutoa placements as if wameambiwa watoe figo zao.!
Ni kama zinawauma sana placements akati Total database, lga na mda sidhani hata candidate 1800 Wanafika, je mngepewa muajiri hao walimu na matabibu 22,000 Mchakato si mngeumaliza baada ya miaka 9 nyie.??
Sekretarieti ya Ajira
tunavyoteseka jamani mitaani huku mmmh sisemi mim
 
Under cetaris peribas principle ukiingia oral umeshafaulu na kwa kawaida huwezi kukosa passmark 50 kwa maswali ya kumention kwa hiyo mtu ukitoka oral wengi wao wanakuwa na uhakika wa kuwemo kwenye database kwa sababu wanajua walivyojibu.
sasa tuliomaliza shule kitambo sana sasa una uhakika gan ulichojibu ndio majibu waliyonayo kwenyark scheme yao
 
Back
Top Bottom