Fungarakwaki
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,720
Wakuu, heri ya Jumatatu ya Pasaka. Naomba kujuzwa kiwango cha mshahara wa office attendant pale BRELA kwa mwenye kujua.
Kasema wapi?Tuwe na imani wakuu ...makofia kasema kuna lipidiefu la taasisi linakuja baada ya pasaka. Wale wa MDA LGA mambo mazuri yanakuja.
Kazi iendelee
Habarini humu ndani
Safi reporter wetuHabarini humu ndani
Salamaa, mtabiri tunaomba njozi yako inasemaje.!Habarini humu ndani
Bado sijapata new kuanzia kesho tutajuaSalamaa, mtabiri tunaomba njozi yako inasemaje.!
No new kesho tutsjua mkuu tuone cha wiki hiiVipi kuna mafaili yamepitishwa boss??
Nilikuwa eneo la tukio asubuhi hakujakuwa na mpyaSafi reporter wetu
Sawa hustle man, tunakutegemea hiyo kesho kwa utabiri.Bado sijapata new kuanzia kesho tutajua
Sas hv mm ngoja nichague kukaa tu kimya!Kama viongozi wa nchi hii wangekuwa wazalendo na wachapakazi wanaotaka taifa liende mbele kusingekuwa na kuchelewa kwa vitu kama kusaini barua ya kazi, barua ya Manispaa, Leseni ya Biashara, na huduma nyingine lukuki
Unaenda kuchukua leseni municipal unaambiwa itakuwa tayari baada ya wiki mbili imebaki sehemu ya kutia saini , na mtiaji saini amekaa tu ofisini ukimpa 10k unapata leseni siku hiyohiyo
sawa na hili barua ya tarehe 14 ya ajira imesainiwa tarehe 27 ya mwezi huo huo.
Alafu the same people wanatajwa na CAG wameiba pesa alooooo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sas hv mm ngoja nichague kukaa tu kimya!
Maana tukiongea inaonekana ni nongwa la kukandwa na PSRS......
Haijalishi tunachoongelea ni uhalisia au makasiriko
Haina noma kiongozi.Nilikuwa eneo la tukio asubuhi hakujakuwa na mpya
Ndo binadamu tulivyo hasahasa wa-tanzania. Hizo ofisi za umma watu wanaziringia sanaa si mchezo mkuu.Kama viongozi wa nchi hii wangekuwa wazalendo na wachapakazi wanaotaka taifa liende mbele kusingekuwa na kuchelewa kwa vitu kama kusaini barua ya kazi, barua ya Manispaa, Leseni ya Biashara, na huduma nyingine lukuki
Unaenda kuchukua leseni municipal unaambiwa itakuwa tayari baada ya wiki mbili imebaki sehemu ya kutia saini , na mtiaji saini amekaa tu ofisini ukimpa 10k unapata leseni siku hiyohiyo
sawa na hili barua ya tarehe 14 ya ajira imesainiwa tarehe 27 ya mwezi huo huo.
Alafu the same people wanatajwa na CAG wameiba pesa alooooo!
Bado hakuna mpya