HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba kuuliza viongozi. Kuna positions zimetoka masharti zinahitaji uwe na referees wawili. Wakati mpaka sasa hivi kwa applications za nyuma tulizofanya mimj CV yangu niliyoupload ina referees 3 pamoja na kwenye system nilijaza 3.

Sasa swali langu ni je? Kwenye kuapply hizi nafasi, natakiwa kuedit cv yangu iwe na referees 2 pamoja na kwenye system?

Na je, nikiapply bila kuedit nitakuwa nimekosea maana ninao watatu na tangazo linataka wawili?

Naomba msaada wa mawazo kwa wazoefu.
 
Mkuu, Utumishi are not your Siblings, you better follow the instructions provided, to avoid omission.
 
Naomba kuuliza viongozi. Kuna positions zimetoka masharti zinahitaji uwe na referees wawili. Wakati mpaka sasa hivi kwa applications za nyuma tulizofanya mimj CV yangu niliyoupload ina referees 3 pamoja na kwenye system nilijaza 3.

Sasa swali langu ni je? Kwenye kuapply hizi nafasi, natakiwa kuedit cv yangu iwe na referees 2 pamoja na kwenye system?

Na je, nikiapply bila kuedit nitakuwa nimekosea maana ninao watatu na tangazo linataka wawili?

Naomba msaada wa mawazo kwa wazoefu.

Position gani if you can be more specific. Nina wasi wasi wametumia ATLEAST 2 referees. Hebu weka tangazo hapa tushauriane
 
* Applicant should indicate three reputable referees with their reliable cantacts.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Position gani if you can be more specific. Nina wasi wasi wametumia ATLEAST 2 referees. Hebu weka tangazo hapa tushauriane

20230410_095503.jpg
 
Back
Top Bottom