Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
Uwe unaendelea kutupa updates mkuuHahahahah niliona leo mwenyewe mifaili ikipita mbele yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unaendelea kutupa updates mkuuHahahahah niliona leo mwenyewe mifaili ikipita mbele yangu
Labda useme kulingana na maandalizi ya halmashauri husika, ukisema nafasi ina maana mpaka idadi inatoka si ndo nafasi wazi zilizopatikana hazina watumishi.??Nadhan watakua wanatoa majina kulingana na nafas znazopatkana ktk halmashaur.. so wataendela kutoa kdgo kidgo.
Hongera kwake.Na mimi mdogo wangu amepata kafanya interview kama 15 hatimae kapata hizi za leo.Mungu mkubwa msikate tamaa
Hongera sana kwake, tunashukuru kwa kututia moyo.Watu wamekula shavu hadi,,,, mwanangu mmoja Dereva ameilamba Asali nyingi pale nimefurahi mno wengine tuvute subra bado bado kurupushani nzito zinakuja naamini mwezi huu tabasamu nzito zitaonekana kwa wengi humu
Pamoja sana mkuu...Mambo mazuri yapo hii mitaasisi ndiyo mizinguzi la sivyo watu wangecheka mno,,, ila kuna bomu kubwa nadhani wiki ijayo inshallah
Halmashauri walishapewa kibali cha kuajiri kitambo sana ndio maana nafasi nyingi zikatangazwa (Mwajiri akiwa LGA). Kilichobaki ni wao kutoa placement tu. Ndio wameanza hivo kwa kudonoa donoa.Nadhan watakua wanatoa majina kulingana na nafas znazopatkana ktk halmashaur.. so wataendela kutoa kdgo kidgo.
Hakuna namna, ukipata unamshukuru Mungu maisha yanaendelea.Wakuu humu hawataki Halmashauri na hao ndiyo hawanaga mbwembwe watatupwa wengi mno [emoji1787][emoji1787]
Hongera sana kwakeUnapoona mtu wako wa karibu kala shavu, aisee ndo unapotambua kuwa kumbe PSRS wapo..
Kuna mwana ni Dereva kwenye hii Taasisi tuliopo sema tumeajiriwa kwa Contracts Renewable upon succesfully performance..
Hongera sana kwake kadumbukia kwenye pipa la Asali la TRA..
Hongereni sana wote mliolamba Asali, Kila la kheri na mkawe watumishi wema.
Hongera sana kwakeWatu wamekula shavu hadi,,,, mwanangu mmoja Dereva ameilamba Asali nyingi pale nimefurahi mno wengine tuvute subra bado bado kurupushani nzito zinakuja naamini mwezi huu tabasamu nzito zitaonekana kwa wengi humu
Kila la kheri kwake, akawe mtumishi mwemaNa mimi mdogo wangu amepata kafanya interview kama 15 hatimae kapata hizi za leo.Mungu mkubwa msikate tamaa
Haha vijana wa huu uzi wanaichukia sana TGSHalmashauri wana hamu na ninyi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
hongera sana ila ni database au majibu ya interview..?Nitakuwa mchoyo wa shukran nisipotoa ushuhuda huu nimepata kazi leo kwenye ka pdf kadogo
Hakuka MUNGU ni mwema sanaaa nilikua nafatilia huu uzi kimya kimya
Asanteni wote kwa maoni yaliyonipa nguvu ya kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app
TGS bwana Ukiwa zako unajitolea Mpingo house ilala unaweza kujikuta afisa misitu Wilaya ya Nanyumbu alafu Loan board na wadau wengine wa tozo wakiwa wanakusubiri[emoji23]
Ebu njoo tena nikuelewe vizuriTGS bwana Ukiwa zako unajitolea Mpingo house ilala unaweza kujikuta afisa misitu Wilaya ya Nanyumbu alafu Loan board na wadau wengine wa tozo wakiwa wanakusubiri[emoji23]
Kuna watu wanakula posho za kutosha/ kipato town bila makato kuliko kazi walizopata vijijini
Ni kweli nina jamaa yangu anajitolea brela analipwa posho ya nauli na chakula 400000 exraduty 600000 kuna viposho vya hapa na pale ,kwa mwezi hakosi mKuna watu wanakula posho za kutosha/ kipato town bila makato kuliko kazi walizopata vijijini