Hongera kwakea
Ahsante kwa niabaHongera kwake
Hongera kwakea
Ahsante kwa niabaHongera kwake
Aisee mkuu wa kitengo safi sana kwa kutupa update za ndani ndani 👊Watu wamekula shavu hadi,,,, mwanangu mmoja Dereva ameilamba Asali nyingi pale nimefurahi mno wengine tuvute subra bado bado kurupushani nzito zinakuja naamini mwezi huu tabasamu nzito zitaonekana kwa wengi humu
Mambo mazuri yapo hii mitaasisi ndiyo mizinguzi la sivyo watu wangecheka mno,,, ila kuna bomu kubwa nadhani wiki ijayo inshallahAisee mkuu wa kitengo safi sana kwa kutupa update za ndani ndani 👊
Makofia huna baya endelea kutupa updates za mapdf yajayoMambo mazuri yapo hii mitaasisi ndiyo mizinguzi la sivyo watu wangecheka mno,,, ila kuna bomu kubwa nadhani wiki ijayo inshallah
Wakuu humu hawataki Halmashauri na hao ndiyo hawanaga mbwembwe watatupwa wengi mno 🤣🤣Makofia huna baya endelea kutupa updates za mapdf yajayo
That's true broKuna watu watakujaga kuajiriwa kipindi ambacho hawana tena hamu na ajira hiyo......
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We ni mtu muhimu sana kaka humu endelea kutupa updates...sio jambo dogo kudadisiAhahahahah na umeshindwa kukazia hapo huwa na wabeba mno na bajaji yangu wanaoenda kuchukua barua pale masijala na kuwarudisha maana zoezi pale halizidi dakika tano,,,kwahiyo napata dodoso za pale kwa haraka mno. Na pia huwa zinatangulia barua kufika pale kabla placement na leo nimepeleka mmoja nikaingia nimejionea mkae kwa kutulia 🤣
Ushuhuda kiaje yanpdf nzito imetoka kada yangu nimewaona saba ,bado mfwende simo .aiseeh huenda sipo database ngoja nijifue na sahili zijazo
hongereni PSRS na wakuu mliopata njoo mtoe shuhuda hapa
Mawakala njooni bas harakaWaliopata wajitokeze basi watupe moyo
Don't worry we lete vituNiliwambia wengi wanakuja kudai eti mimi nipo jikoni jamani hapana jamani hapana mimi msaka tonge tuuuu
Wenzako wametupwa halmashauri, unataka wakupe moyo Gani ssWaliopata wajitokeze basi watupe moyo
Kwani wee unakaa mtaani au nyumban kwenuHapo unalalama hujui huko database upo au haupo[emoji16]
Siku ya natoka majina ya walio database mara pap jina lako halipo[emoji3][emoji3]
Itakuwa n kilio na kusaga meno.
Sisi jobless tunahali mbaya aisee Mungu atusaidie tupatemo asali mtaaani sio poah.