HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unapoona mtu wako wa karibu kala shavu, aisee ndo unapotambua kuwa kumbe PSRS wapo..

Kuna mwana ni Dereva kwenye hii Taasisi tuliopo sema tumeajiriwa kwa Contracts Renewable upon succesfully performance..

Hongera sana kwake kadumbukia kwenye pipa la Asali la TRA..
 
Mpe Hongera sana Kiongozi.....PSRS wanatoa matumain Mungu azidi kuwapa Moyo huo mnapowabana waajiri taasisi!!!
Hawa madereva hawafanyi induction maana wengine wameshaaza....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Since jana usku haifunguki.. ilo file bas ltakua la gb nying
Mi nashangaa kwa nini halmashauri 2 tu ndo zimepangiwa ma afisa mifugo daraja la II akati walihitaji nafasi 75?
Nimeona hata afisa uvuvi watu wa 4 pekee wamepangwa wakati walihitaji watu 100 na usaili walifanya watu 300.

Tunalisubiri pdf la mlongo sio hizi za kudonoa ka kuku kwa mganga.!
 
Nadhan watakua wanatoa majina kulingana na nafas znazopatkana ktk halmashaur.. so wataendela kutoa kdgo kidgo.
 
Mi nashangaa kwa nini halmashauri 2 tu ndo zimepangiwa ma afisa mifugo daraja la II akati walihitaji nafasi 75?
Nimeona hata afisa uvuvi watu wa 4 pekee wamepangwa wakati walihitaji watu 100 na usaili walifanya watu 300.

Tunalisubiri pdf la mlongo sio hizi za kudonoa ka kuku kwa mganga.!
Hata Afisa Wanyamapori II walihitaji 20, lakini mpaka sasa ni wawili (pdf ilopita na hii amepangiwa Halmashauri) ndio wameitwa. Bado wanadonoa donoa.
 
Back
Top Bottom