makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,409
Niliwambia wengi wanakuja kudai eti mimi nipo jikoni jamani hapana jamani hapana mimi msaka tonge tuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah niliona leo mwenyewe mifaili ikipita mbele yanguIla chemchem ya bw.makofia huwaga Ina ukwel wa kutosha....binafsi nakuamin kaka
Ukitoa huu utakuja wa viongozi wa mtaa na madiwani na wenyeviti[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpidiefu wa halmashauri tu
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Nasubiri shuhuda za kugoma kureport halmashauri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiyempenda kaja
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
wanakera sana.. watoe pdf ya database 1769...Ukitoa huu utakuja wa viongozi wa mtaa na madiwani na wenyeviti[emoji23]
[emoji16][emoji16]Hamna wa kugoma Kwa hali ILIVYO huku mtaaani.
Bado wanajitakari kama wataenda au lah[emoji1787]Waliopata wajitokeze basi watupe moyo
Si Bora wao waliopata Borea uende utoke kwenye ujobless maan mtaan jua Kali maisha magumuuuuuBado wanajitakari kama wataenda au lah[emoji1787]
Hapo unalalama hujui huko database upo au haupo[emoji16]Mm naona wawe wanatoa majibu ya oral dah hii torture ni Kali
Alaf PDF la database la mhagama hawataki kutoa vijana tukitaka kulalamika wanasema vuta subra
Ww Acha tu mtaaani tupaache tu jmn.Si Bora wao waliopata Borea uende utoke kwenye ujobless maan mtaan jua Kali maisha magumuuuuu
Hongera sana mkuuNitakuwa mchoyo wa shukran nisipotoa ushuhuda huu nimepata kazi leo kwenye ka pdf kadogo
Hakuka MUNGU ni mwema sanaaa nilikua nafatilia huu uzi kimya kimya
Asanteni wote kwa maoni yaliyonipa nguvu ya kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kali mno unaweza ukafa hahahaMm naona wawe wanatoa majibu ya oral dah hii torture ni Kali
Alaf PDF la database la mhagama hawataki kutoa vijana tukitaka kulalamika wanasema vuta subra
Hongeraa mamiiNitakuwa mchoyo wa shukran nisipotoa ushuhuda huu nimepata kazi leo kwenye ka pdf kadogo
Hakuka MUNGU ni mwema sanaaa nilikua nafatilia huu uzi kimya kimya
Asanteni wote kwa maoni yaliyonipa nguvu ya kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sanaNitakuwa mchoyo wa shukran nisipotoa ushuhuda huu nimepata kazi leo kwenye ka pdf kadogo
Hakuka MUNGU ni mwema sanaaa nilikua nafatilia huu uzi kimya kimya
Asanteni wote kwa maoni yaliyonipa nguvu ya kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwakeNa mimi mdogo wangu amepata kafanya interview kama 15 hatimae kapata hizi za leo.Mungu mkubwa msikate tamaa