HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pdf ya mchongo...37kb

siku tukiimba verse moja ndio itakuwa mwisho wa huu uduanzi.sasa ilikuwa ina haja gani kuita watu interview siku moja na wakati nafasi hazipo zinatoka kama k*si cha mbuzi
Psrs ni taasisi ya hovyo sana
 
PSRS walivyo sikia spika alivyosema wanaojitolea wapewe kipaumbele mioyo Yao imeshtuka paa, wamepokonywa tonge mdomoni ,
PSRS POSHO zitawauwa Kwa presha.
Mpanda farasi wawili huchanika msamba.
 
I
Kupata nafasi ya kujitolea sukuhzi imekua ngumu kama ajira
Ila hii nchi hii ,ni hivyo hivyo hadi private sector ,ukienda kuomba ajira hata ya kujitolea hupati , mwajiri na sekretari wake wanakuangalia kama kinyago na hata hao wenye kujitolea huko ni slave labour Tu with no guarantee ya kuipata hiyo kazi , hali ni mbaya kuliko tunavyodhani ,#ajira za vijana ni kizungumkuti
 
Back
Top Bottom