HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mm nahisi hizo taasisi watu wamejimilikisha si taasisi za umma kama ndo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatakagi kuongea ukwel waajiri...Niliongea na mwajiri mmoja hivi akasema wanapenda watu waajibikaji katika ofisi ...Utumishi wanaleta watu wavivu wa kazi (kuchat na story )office kazi haziendi kwahiyo wao wanashindwa la kuwafanya!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hao waajiri wanashindwa nini kuwarudisha kwa katibu mkuu during probation? Kuna utaratibu katika utumishi wa umma iwapo mtumishi atashindwa kudeliver. Huyo mwajiri uliyeongea nae mrongo au hajui taratibu za kiutumishi na nina wasiwasi sio HR.

Mtumishi mwenye uwezo mdogo haihitaji hata miezi miwili kumbaini na kuchukua hatua stahiki za kiutumishi. Najua waajiri hawapendi watu kutoka utumishi kwa sababu ni kikwazo kwao kufanya yao

Anyways, watu walambe asali nzito ya nyuki wadogo
 
Attachments

  • Screenshot (10).png
    Screenshot (10).png
    335.2 KB · Views: 12
  • Screenshot (11).png
    Screenshot (11).png
    125 KB · Views: 10
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
HONGERA SANA MADAM 💪🏼💪🏼💪🏼
 
Wazee wa best loser mbona app ya psrs haifunguki na haina chochote
Au ndo kilio cha PDF la database
 
Hawatakagi kuongea ukwel waajiri...Niliongea na mwajiri mmoja hivi akasema wanapenda watu waajibikaji katika ofisi ...Utumishi wanaleta watu wavivu wa kazi (kuchat na story )office kazi haziendi kwahiyo wao wanashindwa la kuwafanya!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wao kama Taasisi watatuaje watu wavivu? Eti utumishi wanaleta watu wavivu wakati wa usaili huwezi kujua yupi mvivu.
 
Back
Top Bottom