HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jobless wenyewe walio wengi hawako huko Twitter, na hata kama wapo ila ni waoga kupush agenda.

Nafikiri Insta ndio inaweza kupata support kubwa
Ili ni tatizo kubwa sna mkuu jobless wengi ni waoga na wanapenda kusemewa kuliko kujisemea wenyew lakini kungekua na umoja ingekua rahisi kupaza sauti na kusikilizwa
 
Habari zenu jamani. Naombeni msaada, kwenye kuregister ajiraportal nime upload verified certificates lakini bado naambiwa no verification certificate uploaded. Shida itakuwa ni nini jamani.
 
Wadau kuna post nimewahi kuziona pale kwenye kipengele cha Qualification wanasema"" holder of secondary certificate or holder of diploma certicate with an on the job-training""
Hyo an on the job training ina maana gani ?
 
Kwa mujibu wa chem chem yangu anadai hawanaga skukuu wale wanaendelea kuhudumia hasa katika utoaji wa matokeo ambayo yapo tayari
Pdf ya placement kutoka siku za weekend ni nadra sana ukiachana na ile walioachia jumapili ya juzi. Sijui ngoja tuangalie, ila Mimi natoa asilimia kubwa za uwepo wa pdf kwa siku ya leo
 
Back
Top Bottom