HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapana huyo jamaa ni jobless aliyekubuhu amewafatilia sana na kisha akawafatilia tena kiasi kwamba keshajua jum4/alhamisi/Ijumaa utumishi wanatoa mkeka hahahahaha
Ahahahahah na umeshindwa kukazia hapo huwa na wabeba mno na bajaji yangu wanaoenda kuchukua barua pale masijala na kuwarudisha maana zoezi pale halizidi dakika tano,,,kwahiyo napata dodoso za pale kwa haraka mno. Na pia huwa zinatangulia barua kufika pale kabla placement na leo nimepeleka mmoja nikaingia nimejionea mkae kwa kutulia 🤣
 
Ahahahahah na umeshindwa kukazia hapo huwa na wabeba mno na bajaji yangu wanaoenda kuchukua barua pale masijala na kuwarudisha maana zoezi pale halizidi dakika tano,,,kwahiyo napata dodoso za pale kwa haraka mno. Na pia huwa zinatangulia barua kufika pale kabla placement na leo nimepeleka mmoja nikaingia nimejionea mkae kwa kutulia [emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16], mkuu upo vizuri...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwajiri ana taratibu zake za kuruhusu watu wake wakasome.

Pia lazima awape muongozo wa kwenda kusoma kitu ambacho kitakuongezea skills za kazi unayoifanya.

Kwa hiyo muda wa kurudi shule yeye atakuruhusu muda wowote atakaoona unafaa
Shukran
 
Database ipo ila waajiri tu kizungumkuti utumishi inatamani hata wote waliopo database watoke zije saili mpya waziratibu
Mbona wanatupiana mipira kwenye mambo hayo ya kuajiri...Ukiwauliza waajiri(Taasisi) wanakwambia Utumishi(goverment) shida ...Sasa Best looser tuelewe nani!!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Utumishii wanadai wajiri ndiyo wanazingua kuhakiki watu from data base hawaeleweki ambao wazungu ni hawa ngazi za serikali za mikoa na wilaya yoyote twende tu
 
Utumishii wanadai wajiri ndiyo wanazingua kuhakiki watu from data base hawaeleweki ambao wazungu ni hawa ngazi za serikali za mikoa na wilaya yoyote twende tu
Ni mwendo wa kutupiana Mpira, kuna watu wamefanya interview since November had Leo placement hazijatoka na sio database
 
Mbona wanatupiana mipira kwenye mambo hayo ya kuajiri...Ukiwauliza waajiri(Taasisi) wanakwambia Utumishi(goverment) shida ...Sasa Best looser tuelewe nani!!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Utumishi ndo shida, kumbuka hata mh Rais aliliongelea hilo swala hadi kufikia hatua kuwapa mamlaka taasisi husika kuajiri wenyewe kazi za mikataba ya mda maalum coz utumishi walikua wanachelewesha sana mchakato, utakuta kazi ya miezi mitatu mchakato wa usahili unatumia miezi minne
 
Utumishii wanadai wajiri ndiyo wanazingua kuhakiki watu from data base hawaeleweki ambao wazungu ni hawa ngazi za serikali za mikoa na wilaya yoyote twende tu
Yote wanapigania watu wao wapite kwa mwanya huo wa data base...
Taasisi zinawatu wao+Utumishi wanalist yao..
Kwahy mwenye kauli ya mwisho ni Mama(rais) hakuna wakupinga maana CAG amesema mapungufu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Utumishii wanadai wajiri ndiyo wanazingua kuhakiki watu from data base hawaeleweki ambao wazungu ni hawa ngazi za serikali za mikoa na wilaya yoyote twende tu
Ngoja tuone N/W Kikwete upya wake kwenye Wizara ya utumishi upoje!!!!!
Kuna kauli jana alimjibu mbunge mmoja niliipenda sana.....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom