Na Uvivu unatokana na situation ya ofisi husika, mtu huyo huyo anaeonekana mvivu kwenye taasisi X akienda taasisi Y anaweza kua mchapakazi, then uvivu hauwez pimwa kwenye interview.Wao kama Taasisi watatuaje watu wavivu? Eti utumishi wanaleta watu wavivu wakati wa usaili huwezi kujua yupi mvivu.