HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naona UDSM wametoa nafasi kama zote
Mashirika kuajiri yenyewe yamefunguka sasa
Re-advertised maana yake hizo nafasi zilishatoka na watu walioomba hawakufikia vigezo ndio maana zimetangazwa tena
 
Utumishii wanadai wajiri ndiyo wanazingua kuhakiki watu from data base hawaeleweki ambao wazungu ni hawa ngazi za serikali za mikoa na wilaya yoyote twende tu
Dah watu wa sec selection wanaonekana vilaza sio 😫
 
Hv hawa jambo la kanzidata wanalichukuliaje?? Ambao kanzidata imekuwepo muda wote wanalia nayo sembuse hawa watakaoanza kuwekwa kwa kanzidata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
IMG-20230406-WA0020.jpg
 
Hv hawa jambo la kanzidata wanalichukuliaje?? Ambao kanzidata imekuwepo muda wote wanalia nayo sembuse hawa watakaoanza kuwekwa kwa kanzidata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2578457
Hapa alikuwa anazungumzia walimu na manesi wanajitolea mashulen na mahospital wapewe kipaumbele!!!!
Kazi ipo wanapoguswa watoto wa wajomba na baba mkubwa lazima waseme

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hv hawa jambo la kanzidata wanalichukuliaje?? Ambao kanzidata imekuwepo muda wote wanalia nayo sembuse hawa watakaoanza kuwekwa kwa kanzidata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2578457
Wanaacha kuongelea kanzidata ya Jestina mhagama wanaanza kuibua mambo mapya, kwanza wanaojitolea wengi inakuaga ni connection
 
Back
Top Bottom