mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
walio hitimu enzi za jk hzi shida hawakupitia kabisa uwezi amini till now mkeka wenye idadi ya watu 1700+ pekee haujatoka ,wengine wanadai unatoka kidogo dogo.
enzi za JK pdf ilikua inasomba majina 40000 elfu kwa wakati mmoja, nimeamini dunia tunapita acha kubania wenzio coz ndio tegemeo la familia coz hata wewe huwezi ishi milelee now yukowapi na ikowapi jeuri yake yule alioharibu future/fursa za vijana akaona ajira na uwezeshaji sio kazi ya serikali kabisa.
mama samia endelea kutukumbuka vijana watazame na hawa PSRS coz uwajibikaji kwao ni zero kabisa , oral january while placement desemba !!
sawadogo life limekua la moto balaa