Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
Washushe tuu pdf na hv kuna mvua.Leo duru zinaonesha uwepo wa pdf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Washushe tuu pdf na hv kuna mvua.Leo duru zinaonesha uwepo wa pdf.
Kama haya kayasema waziri , huyu waziri kafoji vyeti, maana hii sio akili MTU mSomi ata kidogo .Simba leo katua Utumishi....View attachment 2577102
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Waziri kany# juu ya mezaSimba leo katua Utumishi....View attachment 2577102
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mkuu haya mambo yapoo sekta binafsi za kizungu sana ,nina bro angu yuko GGM wakiwa shift simu wanakabidhi kwa shift in charge ,simu inayotumika ni ya ofisini tu .Kama haya kayasema waziri , huyu waziri kafoji vyeti, maana hii sio akili MTU mSomi ata kidogo .
Kwa Karne hii ya 5G to 6G anasema watumishi wasitumie phone ofisini
SS Simba ame generaze , Kuna vitengo ndio huruhusiwi kuwa na simu kama apo ggm, unataka kipiga picha blocks za gold utaleta balaa, au bot hawaruhusu kuingia na simu kitengo Cha kuhifadhi pesa kwenye ma shelfMkuu haya mambo yapoo sekta binafsi za kizungu sana ,nina bro angu yuko GGM wakiwa shift simu wanakabidhi kwa shift in charge ,simu inayotumika ni ya ofisini tu .
Anataka kugeuza watumishi wa umma ni wanafunzi wa sekondari😂😂Eti tusiingie ofisini na simu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwamsheni kutoka usingizini huyo......
Like wise hapa kitengo cha kulinda barabara...SS Simba ame generaze , Kuna vitengo ndio huruhusiwi kuwa na simu kama apo ggm, unataka kipiga picha blocks za gold utaleta balaa, au bot hawaruhusu kuingia na simu kitengo Cha kuhifadhi pesa kwenye ma shelf
hapo umesomeka mkuu, mybe anataka watumishi waboreshe utendaji maofisiniSS Simba ame generaze , Kuna vitengo ndio huruhusiwi kuwa na simu kama apo ggm, unataka kipiga picha blocks za gold utaleta balaa, au bot hawaruhusu kuingia na simu kitengo Cha kuhifadhi pesa kwenye ma shelf
mmmmh sawaFursa za Ajira kwa vijanaView attachment 2577324
Huo mwaka wa fedha(22/23) ushapita.Fursa za Ajira kwa vijanaView attachment 2577324
Uzi umebakiza miezi miwili kufunga mwakaHawa jamaa watoe huo mkeka kama hatupo tujue mapema tusikae namatumain fake..MTU tunasubilia placement mwaka mzima its really disappointed
Ni bora wangekua wanatoa hata updates, na tatizo inaonesha lipo kwenye kusaini barua coz wengi waliochukua barua wamekuta barua ziliandaliwa hata mwez mzima kabla ya placement kutokaHawa jamaa watoe huo mkeka kama hatupo tujue mapema tusikae namatumain fake..MTU tunasubilia placement mwaka mzima its really disappointed
They must be potentially academic good..[emoji23][emoji23]...hapo ndo kwenye key point.UDSM imetema kama inaajiri upya. Sijui watu wanakimbia au wanastaafu wengi?
Hii nchi ipo kwenye slow motion phase, kumbuka hilo..Tulishatoka kule kwenye fast motion phase. Nimeamini "The attitude of the leader determines attitude for his/her people whom he/she lead". Kama ingelikuwa ni JPM katika utawala wake anatoa fursa za ajira kama hivi, nakuambia mchakato ungekuwa na speed kubwa usingeamini. Ungeshangaa ndani ya mwezi tangu ufanye oral tayari umeshaitwa.Hawa jamaa watoe huo mkeka kama hatupo tujue mapema tusikae namatumain fake..MTU tunasubilia placement mwaka mzima its really disappointed
Na aliyeuanzisha ameshalamba asali...uzi unaelea tuuuUzi umebakiza miezi miwili kufunga mwaka
Hivi na waziri wa fedha pamoja na Gavana wa BOT huwa wanasaini hela zote za noti? Au huwa inakuaje wadau maana nashindwa kuelewa inakuwaje mambo yanakuwa hivyo au kuna mahala technology inakuwa applicable na mahala pengine inakuwa not applicable?Ni bora wangekua wanatoa hata updates, na tatizo inaonesha lipo kwenye kusaini barua coz wengi waliochukua barua wamekuta barua ziliandaliwa hata mwez mzima kabla ya placement kutoka