Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,611
Hii nchi inafikirisha sana, unashangaa unawasilisha passport yako kwa wakandaji na bado wanakuuliza cheti cha kuzaliwa!!! Hivi mtu unaweza pata passport kwa cheti cha kuzaliwa ambacho si chako? Kuna mataifa mengine ukiwaonyesha passport hawakuulizi habari za birth certificate. Lakini TZ daaah tunasafari ndefu mno.Ndo hapo hata Mimi najiuliza kwanini kusiwe na electronic signature
Sent using Jamii Forums mobile app