HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu nimejaribu kuwaza kitu leo, inawezekana kuchelewa huku kwa placement pengine ni upembuzi yakinifu unafanywa kuwaajiri baadhi ya watu wengine kama undercover pia....Nani ajuaye wanakaaa kufuatilia mambo kadhaa kwa wale waliofaulu usaili na kujaribu kuona kama watafaaa huko kitengoni. Nimewaza tuu wakuu.....Nawatakia asubuhi njema[emoji16][emoji16][emoji16].
Tuwe na subira mambo mazuri yanakuja.
Kusubiria ajira kwa miezi hadi sita tangu tangazo litoke si mchezo, michakato ni mingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mara nyingi kinachochelewesha ni signature ya Katibu mkuu...
Mara nyingi unakuta ana vikao na misele ya hapa na pale ...
Mungu atusimamie bestlooser

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini

utumishi

Wanatumia

Muda mrefu kuita watu

kazini.​
Raisi Samia fanya mabadiliko ya k/M ,weka Mwanamke Ili kuleta ufanisi wa ufanyaji kazi PSRS, itasaidia kuleta hamasa ya ufanyaji kazi na kuacha kufanya kazi kwa mazoea kwenye hii taasisi.
kitenge mpatie HAta ukatibu tawala chalinze
 
Simba leo katua Utumishi....
Screenshot_20230405-112949-1.jpg

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini

utumishi

Wanatumia

Muda mrefu kuita watu

kazini.​
Raisi Samia fanya mabadiliko ya k/M ,weka Mwanamke Ili kuleta ufanisi wa ufanyaji kazi PSRS, itasaidia kuleta hamasa ya ufanyaji kazi na kuacha kufanya kazi kwa mazoea kwenye hii taasisi.
kitenge mpatie HAta ukatibu tawala chalinze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]why katibu tawala jaman
 
Back
Top Bottom