HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Katiba imepiga marufuku CAG baada ya kustaafu kuajiriwa kwenye Utumishi wa Umma, that is to say Hawezi hata kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi yoyote ile ya kwenye mashirika ya umma,etc.
Duuu, kumbe hicho cheo ni kigumu sana ni kama vile Rais! Tena bora ya Rais anaweza kuwa Chancellor wa University, n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom