HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi placement ikijumuisha watu wa kada uliyofanya nao usaili na tarehe ya usaili haijatajwa kwenye tangazo inamaanisha nini? Au ndio wanatoka kanzidata.
Rejea placement ya leo internal auditor II na Accountant grade II.
 
Kama mm mkuu tarehe haijatajwa ila naona pale wapo[emoji848]. Japo sijafatlia majina yao
 
Hata kwa upande wetu naona kuna mtumishi mmoja ameitwa wa kada yetu lakini tarehe sio hiyo. Huenda ametolewa aidha database au atakuwa ametoka kwenye interview ya tarehe 13 February, 2023.
Ni vile tu hua hatujuani majina pale kwenye oral interview isipokuwa aidha kwa ulosoma nao au kuwafahamu kabisa.
 
Kama mm mkuu tarehe haijatajwa ila naona pale wapo[emoji848]. Japo sijafatlia majina yao
Kuna position hazipo kwenye tarehe Ila sio za database, ni interview za mwez February, evidence nnazo Ila siwez kuziandika hapa. Hakuna mkeka utaokuja full na majina yote yanayotosheleza nafasi zilizotangazwa mfano MDAs na LGAs kwa post ya Accounting officer II zilikua nafasi 100, usitegemee siku mkeka utatoka wa majina 100, ni mwendo wa kudonoa, na neno data base halitokosekana
 
Yeah naona hivo. Sa sjui wanaopangiwaga wa kwanza ndo high marks[emoji848]
 
Mkuu, kama nakuelewa hivi. Kuna ukweli fulani hivi nauona
 
Ijumaa
Mkeka mwingine lin boss

Yeah naona hivo. Sa sjui wanaopangiwaga wa kwanza ndo high marks[emoji848]
Hapana sidhan kama high marks, ni matter of chance, yan had dakika hii kila mtu fungu lake lipo tayari sema ni taratibu tu ndo hazijakamilika(michakato), rejea post za Accountant II, wa mwanzo kutoka walipangiwa VETA wengine halmashauri next wakaja pangiwa TPDC,
 
Sipingi boss,wacha tuisubr Ijumaa

Haimanish kua mwenye high marks ndo aende sjui TPDC au wapi. Ni kupick in order kutokea kwenye list ya walofaulu
Me nahis wanaenda kimarks[emoji848]
 
Back
Top Bottom