HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mbona miaka iliyopita mambo yalikua chapu, tena sio mbali (angalia trend za interview na placement kuanzia 2021 kurudi nyuma) michakato ilikua inaisha ndani ya mwezi hadi miezi 2....

Sasa hivi ni kama hatuelewi jinsi mambo yanavyoenda, tupo tupo tu
Naomba tuzungumzie kipengele cha takwimu pekee, kulingana na comment yako hii.

Ebu linganishe idadi ya sahili za mwaka 2021 kurudi nyuma na sahili za mwaka 2022.

Mf, Mwaka 2021 mwezi January sahili zilikuwa kadhaa

na Mwaka 2022 mwezi January sahili zilikuwa kadhaa.

Baada ya hapo tufanye analysis ya workload.

Assumption: Factors zingine tuziweke constant kama vile idadi ya Watumishi na mfumo wa uendeshaji sahili.
 
Ki ufupi Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imemwaga Ajira za Kutosha na Inaendelea kumwaga Ajira.
Angalia matangazo ya Ajira yalivyo mengi.

Angalia JWTZ, Polisi, Takukuru,Wizara ya Afya,Tamisemi na kwingineko Vijana wanalamba Asali. Huyu mama Tungekuwa nae Toka muda mrefu hakika vijana wengi wangekuwa washapungua Mtaani.Ukiuliza miaka ambayo vijana wengi wamepata Ajira basi ni Miaka hii ambayo Mhe. Samia Ndio Rais wetu.

Tuzidi kumuombea mama yetu na Serikali yake anayoingoza.Hakika Matumaini ya Vijana mengi anazidi kuyatatua.
#Kazi iendelee
 
Tumuombe
Maxence Melo na Timu yake watuondolee Huyu kijana Kwa kuwa anaharibu maana ya Uzi huu kuwepo Wasomi tukijadili mambo ya msingi sana...
JF Tunaomba mtuondelee Huyu kijana👇Hapa chini,Nina Imani Kubwa hata wenzangu watakubaliana nami humu ndani......
Hii ID ni tatizo sana kwenye huu uzi
Blender
Hapa sikuungi mkono champ
 
Interview ya trade officer tumefanya 16.2.2023.
Juzi tayari nmeona jina moja TU la mtu aliepata trade officer kapangiwa geita which means MATOKEO TAYARI YAPO.

So hapo bado majina 80(walitaka 81 people),kwa mfumo huo wa jina moja moja hadi 81 wote waishe ni leo kweli????

Mtu unakaa unajiuliza hupat majibu why wanafanya hivo,why wasitoe matokeo mana tunajua kabisa yapo tayari.
Ili maisha mengine yaendelee,mtu unashindwa hata kuplan vitu vyako mana unaishi kwenye uncertainty tu[emoji2356].

Haya basi maybe mna sababu zenu,basi communicate with us,tuambien kwamba bana eeh taratibu zipo hivi na hivi ndomana matokeo yanachelewa,tutaelewa na sio kutesana kibabe hivi[emoji2356].

Na tunauliza hata hatujibiwi maskin ya Mungu tunabak tunafarijiana wenyew na kupeana majibu ya kuassume tu[emoji2356]

Its so unfair[emoji22]...
Kuna wakati mpaka unahisi kuzaliwa bongo ilikuwa ni bahati mbaya fulani hivi. Watu wakatili sanaaa aisee, inashangaza mchakato wa ajira unachukua more than six months tangu tangazo mpaka placement. Ni aibu kubwa it means hata uwepo wa teknolojia huku serikalini unafanya uonekane hauna maana. Mungu akaliponye hili taifa kuna mahali linaugonjwa sugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have just spoken my mind,acha tu.
Tena hiyo six months mbona nafuu,sisi bado kama miez miwili hivi ifike mwaka.
 
Interview ya trade officer tumefanya 16.2.2023.
Juzi tayari nmeona jina moja TU la mtu aliepata trade officer kapangiwa geita which means MATOKEO TAYARI YAPO.

So hapo bado majina 80(walitaka 81 people),kwa mfumo huo wa jina moja moja hadi 81 wote waishe ni leo kweli????

Mtu unakaa unajiuliza hupat majibu why wanafanya hivo,why wasitoe matokeo mana tunajua kabisa yapo tayari.
Ili maisha mengine yaendelee,mtu unashindwa hata kuplan vitu vyako mana unaishi kwenye uncertainty tu[emoji2356].

Haya basi maybe mna sababu zenu,basi communicate with us,tuambien kwamba bana eeh taratibu zipo hivi na hivi ndomana matokeo yanachelewa,tutaelewa na sio kutesana kibabe hivi[emoji2356].

Na tunauliza hata hatujibiwi maskin ya Mungu tunabak tunafarijiana wenyew na kupeana majibu ya kuassume tu[emoji2356]

Its so unfair[emoji22]...
Umeongea kwa uchungu sana. Inauma sana kwa ambao tupo nje ya box na tunasubiri tusichojua nini kinachoendelea huko.
 
Mbona miaka iliyopita mambo yalikua chapu, tena sio mbali (angalia trend za interview na placement kuanzia 2021 kurudi nyuma) michakato ilikua inaisha ndani ya mwezi hadi miezi 2....

Sasa hivi ni kama hatuelewi jinsi mambo yanavyoenda, tupo tupo tu
PSRS wanahujumu Serikali ya Raisi Samia
 
Wakati matokeo TRA written yametoka nikawa nmefaulu kwenda oral kuna mdada nilisomaye yeye written hakupita akaniuliza vipi utumishi pale una ndugu au nikuunganishe na mtu wa utumishi oral, kwann Yeye aliambiwa apambane apite written alafu oral awachie ndugu zake sasa written akachemka akaanza kuniunganisha mimi, mm nikamwambia MUNGU atanipigania nikosa basi sihitaji kupitishwa kwa connections ila sasa kuna watu wanawaongelea utumishi kama watakatifu sana sasa hayo yangetoka wapi
 
kama tu waziri alidanganya umma wataajiri watu 1760 kutoka database tena bungeni ila hadi leo imebaki story utadhani database ya waliofaulu usaili haina watu.

Raisi samia Tunaomba ufute na uondoe hu mfumo wa PSRS hauna tija wala hausaidi watoto wa maskini baadala yake unaumiza wengi na wengi hutumia garama mingi kufuata usaili. japo wengi wanafaulu ila inaonekana database haina maana tena.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Rais alihoji kwanini utumishi wanatumia mda mrefu kutoa placement na kibali walichapewa, kama sio rushwa ni nini alafu kuna mtu anakuja kutetea utumishi jamani kama hawana madudu rais asingesema
Ni watoto wa maskini ponapona yetu ni PSRS

MASKINI wenzetu wakishalamba asali wanawasahau maskini wanaosota🥲🥲🥲
Tukihoji utendaji wa utumishi tunaonekana hatuna subira...tuna nongwa....tuna wakubwa huko...tulizoea connections......tuli....tuli...
Au tuendeleee kujikabidhi kwa MUNGU (ambapo hili wala halihtaji ubishi kila mtu kuna anavyoamini)
Anyway mfungo mwema kwenu wote (KWARESMA NA RAMADHAN)
 
Back
Top Bottom