yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,584
- 4,588
Aloooo nimemwona na mm[emoji1787][emoji119],hapo mtoto wa uncle keshapachikwaKatafute hili jina kwenye tangazo la leo uoneView attachment 2564036
Aloooo nimemwona na mm[emoji1787][emoji119],hapo mtoto wa uncle keshapachikwaKatafute hili jina kwenye tangazo la leo uoneView attachment 2564036
Kaangalie hapo no 16...last week aliitwa mwenyeweweka ushahidi mkuu
yaah,champ leo imeshibaWangekua wanatoa PDF yenye majina ya kutosha kama Leo at least malalamiko yangepungua
Imajin last week aliitwa mwenyeweAloooo nimemwona na mm[emoji1787][emoji119],hapo mtoto wa uncle keshapachikwa
pangu pakavu tutasota sana bongo hiiKatafute hili jina kwenye tangazo la leo uoneView attachment 2564036
Sasa hapa sjui ndo watajiteteajeImajin last week aliitwa mwenyewe
Halaf leo imekuja PDF yenye majina mengi
Yaaan aiseeee
Nataka nikaingie DM kwa mama[emoji848]sjui ataiona
"Kuwa mvumilivu, jipange kwa saili zijazo, kusoma iwe ratiba yako ya kila siku"pangu pakavu tutasota sana bongo hii
Tuzidi kuibua madudu ya hawa waporaji wa haki ya mtanzaniaKaangalie hapo no 16...last week aliitwa mwenyewe
Leo kaitwa kwenye kundi la wati wengiView attachment 2564039
Poa poaZama DM kwa Jenista muhagama au lizwan kikwete, kwamama wanaweza wakaona wasaidizi wake yeye lisimfikie
Asali nzitoWale wa tpdc kumekucha..
Unaona wanao ilalamikia UTUMISHI wana mashiko?? Sas ilikuwaj mwanzo likatoka jina mojaTuzidi kuibua madudu ya hawa waporaji wa haki ya mtanzania
Alisikika mlamba asali mmoja akiwa anasaini posho ya kikao"Kuwa mvumilivu, jipange kwa saili zijazo, kusoma iwe ratiba yako ya kila siku"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alisikika mlamba asali mmoja akiwa anasaini posho ya kikao
so sad champUnaona wanao ilalamikia UTUMISHI wana mashiko?? Sas ilikuwaj mwanzo likatoka jina moja
Halaf leo limetoka na mengine mengi??
Means wanakuwa wanazngua kutoa majina nusu nusu na mengine kuendelea kuyashikilia
Something is fishy
[emoji23][emoji23][emoji23], na tutawasema tuuu! Jumla Ya watu 198 wamelamba asali. Hongera nyingi sanaa kwao. Naona TPDC ndo imetawala huu mkeka.Hadi wasemweeeee ndo wanajitikisa,hawa ni kuwasema daily tu
Kwel kabisa, watu 198 inatia moyo angalau.Wangekua wanatoa PDF yenye majina ya kutosha kama Leo at least malalamiko yangepungua
[emoji16][emoji16][emoji16], daaah kwa jinsi watu walivyokaa bench muda mrefu wame-develop investigative skills...Hongera mwamba kwa kuwa mfuatiliaji.Katafute hili jina kwenye tangazo la leo uoneView attachment 2564036