HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tunatofautiana upeo na uwezo wa kuchakata mambo kun watu humu wanaongea vitu hawafikirii mana hatua ya kwanza kupata mrija mtu hajavuka anawaza yapili anachagua pakwenda.. Kikubwa tupambane tuingie kwenye system kwanza..alafu sio vyema mtu akitoa mawazo yake kwa kuwa amepta asali uku mnaanza kumu attack kuwa ana defend utumishi haijakaa sawa ni mawazo ya mtu tuwe flexible tusikaze vichwa tukae position ya kujifunza na kuthamin michango ya wanaochangia
Kwani nyie sheria zenu zinasemaje, tuko makini tunafuatilia Kila step mnayo kanyaga
 
Si mumesema hamtaki kupangiwa sehemu ambazo hamkuzifanyia sahili?

Kama hujaona hiyo comment, fuatilia comments za jana hadi leo utaona hilo wazo.

NB: Kama kweli mnataka mabadiliko ya kiutendaji huko PSRS, jaribuni kuwa na msimamo na wala si leo mtu anasema hiki, kesho akasema kingine kinyume na alichokisema mwanzo.

Tuliopata placement, tukiwaasa mvumilie mnatuona sisi ni mawakala wa PSRS, nimebaki kusoma comment zenu sana badala ya kuchangia na nachangia pale inapobidili tu ili mpate uwanja mpana wa kuwasema PSRS.
SasA Muzee , unapo chuku mtu kutoka kwenye database inabidi uonyeshe oral aliombea wapi ,pass marks zake ni ngapi , na SS tunapenda kumpeleka taasisi Fulani wanamuhitaji ,

Na sio kupachika TU mtu ,pasipo kujua alitokea wapi ,Alafu unasema huyo from database, hili aijaka sawa ,bao la mkono linaweza tumika hapa

Psrs lazima muwe transparency, mambo ya Siri, Yana leta wasiwasi sana kwetu ss
 
Mchakato wote wa ajira huwa unahusisha PSRS na mwajiri, mwajiri ndio anasema anachokitaka halafu PSRS inamfanyia.

Sasa kama mwajiri hataki watu wa database hapo lazima nafasi itangazwe.
Huu muongozo mkuu umeutoa wapi...naomba nirushie niupitie
 
Wale mnaowatetea psrs wambieni basi warekebishe Tangazo lao hilo maana kila kitu ishakuwa nginjanginja....sasa hiyo two hundred and twelve ndio nini?
IMG_20230324_134335_870~2.jpg
 
Database Gani hii inatoka kidogo kidogo, bila HAta kuonyesha ufauli wa wahusika , TU Naona apa Kuna watu wanapachikwa bila HAta kufanya written,
Aisee kukomba kazi imekuwa kazi nyingine
 
sasa kuna haja gani yakuwa na PSRS kama taasisi ndio inamamlaka kuliko wao?

na PSRS itaitaje watu waliofaulu usaili kwenye usaili mpya tena. Hichi ndo kitu waziri jenista alikilaani bungeni na kusema ataajiri watu 1760 kutoka database ili kuepusha kuwarudisha rudisha watu waliofaulu usaili kwenye saili zingine mpya.

Sekretarieti ya Ajira fanyeni kazi zenu kwa kufuata kanuni zinazowaongoza sasa nyie wenyewe mnavunja kanuni zenu ni bora muachie tu taasisi zifanye saili zenyewe kama zenyewe ndio zinamamlaka kuliko nyie. au raisi samia awaondoe tu maana mnakera

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
PSRS ukweli usemwe TU Haina maana yoyote Ile ni bureaucracy iliyowekwa na JPM Ili kuminya mirija ya asali Kwa vijana

Na Ndio maana tunamsisitiza Raisi Samia awapunguzie Psrs majukumu, Ili kuleta tija kwenye kufanya usaili. Bila hivyo nchi inaelekea kubaya
 
Sema tu ni vile divide and Rule ndio wanayoitumia,mtu akilamba asali anaona wanaopiga kelele ni wazembe hawakujituma kwenye saili na ni watu flan wa kulalamika...anshindwa kujua sisi wote tupo ndani ya changamoto ilipaswa kuungana kusaidia watakaokuja baadae huko maana tukifumbia macho ipo siku mchakato utachukua zaidi ya miaka miwili then reference itakuwa mbona zamani walivumilia.
Kinachofanywa na taasisi hii nyeti kwa Taifa sio kizuri maana hata wanaochukua barua wanakuta barua imetoka miezi miwili nyuma,na tunaopiga kelele sio tuna njaa au vipi,ni tumetoka maisha ya vijijini huko na tukasimama na watu wasiotujua na huenda asali tuliyonayo ni nzuri.
sasa kama mtu ana hoja ya kwa nn mchakato umekuwa mchakato then mtu anakuja anasema uvumilivu na kusoma sana ndio ushindi as if yy amesoma sanaa kuliko waliokosa hiyo nafasi au yy ana akili sanaaa.
Hebu tuwaze kama taifa kuangalia tukifumbia hii itakuwaje maana ilianza ni miezi miwili inachelewa nw miezi 5 ,6 imekuwa kawaida.
asali isiwalevye ndugu zangu kama kazi imekuwa ngumu kwao waadress..nilisema juzi kitendo cha mkuu wa nchi kusema hadharani wanachelewesha mchakato basi ujue kuna shida sehemu sio bure.
 
Raisi Samia kilio chetu amekisikia, muda si mrefu anafanya mabadiliko Psrs
 
Kuna hii issue mtu unaomba kwenye asali (eGA, PURA, TPDC, TRA e.t.c) lakini placement ikitoka wamekupangia matopeni wilayani Kakonko huko ndani ndani. Sio kila mtu anaeomba kazi anataka kufanya kazi popote. Watu waulizwe " Mr. Tutor uliomba kazi TANROAD umekosa nafasi sasa kuna nafasi wilaya ya Namtumbo uko tayari?" Hii itapunguza idadi ya watu wasioenda kuripoti vituoni.
Jobless unapagua sehemu ya kufanyia Kazi bhs upewe Ulinz
 
Back
Top Bottom