Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Za jikoni sio?Inakuja
Za jikoni sio?Inakuja
mm nilisha retweet mze. fanya mpa maria surungi aposti. wanaharakati wanaeza saidia mule.Mbona hii tweet hamjairetweet ili iwafikie wausika, au watu humu hamutumii Twitter?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya mambo ya kazi za contract magumu sana. Pale Temeke kuna mtendaji wa mtaa kafanya kazi kwa contract miaka 12 anarenew tu. Siku walivyomwambia basi kaondoka na muhuri wa ofisi na bado alikuwa anaendelea kuzunguka maeneo ya nje ya ofisi hataki kukubali
Mnakuta hao walishawai kuingia oral kipindi cha nyuma....Ongezea hapo, afisa mifugo nafasi 75 walipata 2. Oral ya feb this year.
73 wote bado.
KabisaMnakuta hao walishawai kuingia oral kipindi cha nyuma....
PSRS kuwaelewa ni nguma sana!!!!
Hapa ukitaka kujiuliza tu?Kuna jambo nyuma ya pazia(watu wapo wanaotetea) 2022 TMO(TRA) mwaka jana waliitwa oral chini 580 idadi ilikuwa wanahitajika watu waliowapangia kazi 500+, 2023 TMO Waliitwa watu 700 oral waliopangiwa 187.Wakati matokeo TRA written yametoka nikawa nmefaulu kwenda oral kuna mdada nilisomaye yeye written hakupita akaniuliza vipi utumishi pale una ndugu au nikuunganishe na mtu wa utumishi oral, kwann Yeye aliambiwa apambane apite written alafu oral awachie ndugu zake sasa written akachemka akaanza kuniunganisha mimi, mm nikamwambia MUNGU atanipigania nikosa basi sihitaji kupitishwa kwa connections ila sasa kuna watu wanawaongelea utumishi kama watakatifu sana sasa hayo yangetoka wapi
Mama(rais) anakazi sanaa kwa wateule wake!Inatakiwa afanye mamuzi maguma bila kumtazama usoni mtu!!!Kunakijana anatafuta hata ajira ya mwaka mmoja apate capital yakufanya biashara hapati!!!Haya mambo ya kazi za contract magumu sana. Pale Temeke kuna mtendaji wa mtaa kafanya kazi kwa contract miaka 12 anarenew tu. Siku walivyomwambia basi kaondoka na muhuri wa ofisi na bado alikuwa anaendelea kuzunguka maeneo ya nje ya ofisi hataki kukubali
Kafanya kazi kwa muda wote huo wanashindwa kumconfirm kwenye kazi bongo bhanaa..Haya mambo ya kazi za contract magumu sana. Pale Temeke kuna mtendaji wa mtaa kafanya kazi kwa contract miaka 12 anarenew tu. Siku walivyomwambia basi kaondoka na muhuri wa ofisi na bado alikuwa anaendelea kuzunguka maeneo ya nje ya ofisi hataki kukubali
mm nilisha retweet mze. fanya mpa maria surungi aposti. wanaharakati wanaeza saidia mule.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Matusi hayasaidii, tunaweza kuwasilisha kero zetu pasipo kutukana
Permanent and pensionableSo hizo za kudumu kwenye kusign zimeandikwaje forever ama[emoji28]
hapo hamna tusi bro.Matusi hayasaidii, tunaweza kuwasilisha kero zetu pasipo kutukana
Hapa ukitaka kujiuliza tu?Kuna jambo nyuma ya pazia(watu wapo wanaotetea)
2022 TMO(TRA) mwaka jana waliitwa oral chini 580 idadi ilikuwa wanahitajika watu waliowapangia kazi 500+
2023 TMO Waliitwa watu 700 oral waliopangiwa 187
Baada ya hapo ndo likafuata tangazo la Mhagama tutawapangia vijana vituo vya kazi kwa budget 2020/2021.....
Bajeti 2020/2021?????Hapa ukitaka kujiuliza tu?Kuna jambo nyuma ya pazia(watu wapo wanaotetea)
2022 TMO(TRA) mwaka jana waliitwa oral chini 580 idadi ilikuwa wanahitajika watu waliowapangia kazi 500+
2023 TMO Waliitwa watu 700 oral waliopangiwa 187
Baada ya hapo ndo likafuata tangazo la Mhagama tutawapangia vijana vituo vya kazi kwa budget 2020/2021.....
PSRS ni majizi majizi majizi makubwa kabisaHapa ukitaka kujiuliza tu?Kuna jambo nyuma ya pazia(watu wapo wanaotetea)
2022 TMO(TRA) mwaka jana waliitwa oral chini 580 idadi ilikuwa wanahitajika watu waliowapangia kazi 500+
2023 TMO Waliitwa watu 700 oral waliopangiwa 187
Baada ya hapo ndo likafuata tangazo la Mhagama tutawapangia vijana vituo vya kazi kwa budget 2020/2021.....
@Sekretarieti ya AjiraPSRS ni majizi majizi majizi makubwa kabisa
Link iko wap?Polisi wamechukuliwa watu 2,671. Duh! Mitano tena kwa MAMA