HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Asali tamu nyie.....Vijana tuliokua nao kwenye mapambano wamekengeuka. Kuna watu wa aina nyingi humu nimegundua

1.Wale wanaotaka Taasisi zirudishiwe mamlaka za kuajiri

2.Wale wanaona mfumo wa Sasa uko sawa

3. Wale wanaotaka huu mfumo wa utumishi lakini ufanyiwe marekebisho

Mimi binafsi nipo na namba Tatu, lakini bila watu kusema madhaifu ya utumishi je watajirekebisha vip!? Na kama utumishi wanaona makosa si ya kwao, Wangetoa tamko kwa maandishi watu wakapata kuelewa
 
Hawawezi toa taamko kwamba Wana makosa, hii kitu ki Africa na tz hakitokei
taasisi kukubali wanamapungufu
Huwa wanazungumza kwenye vikao vyao wakiwa na waziri šŸ˜‹ huko.

#3 .hiyo inahitaji budget yake itoke serikali kuu, sizan kama wata weza implement hicho kitu.

#2. Hao ni wao wenyewe Psrs wanata iwe ivyo, si unajua per day ni 100k+ mbususu.šŸ˜‹

#1. Haina Mbamba Yan, shwaaa mwezi TU kijana analamba asali, haitaji Budget kuuubwaa kivile ku implement.

Ndugu waislam muwe na mfungo mwemašŸ™
 
Mabadiliko gani? Kuna muda ambao wengi wetu tutatumia humu ni baada ya kufanya Oral tu au labda kabla ya Written,ila muda mwingi mtu inabidi utumie kujiandaa Kwa kusoma sana kuelekea Written na Oral.Hakuna Maajabu ya kufaulu usaili wa Utumishi kama hujipangi kisawa sawa na kujithamni kuelekea saili zingine.....
Kuingia Oral ni Ushindi tosha,ndio maana hata wao hutoa Hongera,na uzuri unabakia kwenye Database,mini na rafiki Zangu wengi sana wamepata shavu kupitia Database......
Tujifunze sana kupitia
Mwifwa aliamini kwenye kujipanga ndio nguzo pekee ya Mafanikio.Huwezi ukasema unataka kuajiriwa Serikalini halafu ukasema unaikwepa PSRS,Hilo haliwezekani labda Ajira za vyombo vya Ulinzi na Usalama tu....
Mtu kama
Blender Huyu anaonekana ana hasira na PSRS na labda ana ndugu zake Wakubwa kwenye baadhi ya Mashirika,ndio maana ana hasira na Chuki na PSRS,ila angetambua tu PSRS ni Taasisi ya Serikali na ipo chini ya Ofisi ya Rais basi angewapa Heshima na angejitahidi kwenye kuongeza Juhudi na kumuomba Mungu Ili na yeye afanikiwe kupata kazi,muda wa kulalamika humu asingekuwa nao.
Uko sahihi mkuu
 
kufuta connection kwa 100% ni ngumu sana may be usaili usiendeshwe na binadamu.
Lkn psrs ni afadhar na angalauangalau.
Placement miezi 10 kuna afadhari gani hapo?

Mimi nawajua watu wengi wasiokua na connection wamekula asali kipindi cha nyuma before psrs....

Mfumo wa ajira uliharibika alivyoingia mzee baba, ndo maana unaona kuna wimbi la watu, lakini zamani watoto wa matajiri kwa masikini walikua wanakula asali chapu kwa haraka kwenye haya haya mashirika yetu pendwa.
 
Interview ya trade officer tumefanya 16.2.2023.
Juzi tayari nmeona jina moja TU la mtu aliepata trade officer kapangiwa geita which means MATOKEO TAYARI YAPO.

So hapo bado majina 80(walitaka 81 people),kwa mfumo huo wa jina moja moja hadi 81 wote waishe ni leo kweli????

Mtu unakaa unajiuliza hupat majibu why wanafanya hivo,why wasitoe matokeo mana tunajua kabisa yapo tayari.
Ili maisha mengine yaendelee,mtu unashindwa hata kuplan vitu vyako mana unaishi kwenye uncertainty tu[emoji2356].

Haya basi maybe mna sababu zenu,basi communicate with us,tuambien kwamba bana eeh taratibu zipo hivi na hivi ndomana matokeo yanachelewa,tutaelewa na sio kutesana kibabe hivi[emoji2356].

Na tunauliza hata hatujibiwi maskin ya Mungu tunabak tunafarijiana wenyew na kupeana majibu ya kuassume tu[emoji2356]

Its so unfair[emoji22]...
Una uhakika gani kama trade officer aliyechukuliwa ni ambae mlifanya nae interview? Kama alikuwa data base je au kama alifanya zile za MDA na LGA zilizopita. Inaweza onekana naongea hivi kwa vile nimelamba asali, ila badala ya ku complain we muombe Mungu wako ili wakati ukifika na wewe uwemo
 
Shida yetu expectation zetu zipo juu sana(hata mimi ilikuwa hivyo hivyo) kiasi kwamba kila kitu tulichokuwa tunafanya kabla tunaona hakifai tena tukiamini tutalamba asali. Kama upo sehemu umejishikiza we kamatia hapo hapo, assume kama hujafanya oral. Mimi expectation zilikuwa juu baada ya kuwa napitia humu jamii forum ila nilikuwa nikiwa kijijini huko hakuna mtandao hadi nilikuwa nasahau kama nna majibu nasubiri
 
Una uhakika gani kama trade officer aliyechukuliwa ni ambae mlifanya nae interview? Kama alikuwa data base je au kama alifanya zile za MDA na LGA zilizopita. Inaweza onekana naongea hivi kwa vile nimelamba asali, ila badala ya ku complain we muombe Mungu wako ili wakati ukifika na wew

Una uhakika gani kama trade officer aliyechukuliwa ni ambae mlifanya nae interview? Kama alikuwa data base je au kama alifanya zile za MDA na LGA zilizopita. Inaweza onekana naongea hivi kwa vile nimelamba asali, ila badala ya ku complain we muombe Mungu wako ili wakati ukifika na wewe uwemo
Pengine hujapenda uwasilishaji wake, ila mleta mada ana hoja, asikilizwe!!
Trinity aligusia pia placement 2 za Afisa mifugo. Hii inamaanisha, MDA na LGA wameshaanza kutoa placement lakini ni kwa uchache mno.
Hoja yake ijibiwe kwa hoja na si vinginevyo.
 
Shida yetu expectation zetu zipo juu sana(hata mimi ilikuwa hivyo hivyo) kiasi kwamba kila kitu tulichokuwa tunafanya kabla tunaona hakifai tena tukiamini tutalamba asali. Kama upo sehemu umejishikiza we kamatia hapo hapo, assume kama hujafanya oral. Mimi expectation zilikuwa juu baada ya kuwa napitia humu jamii forum ila nilikuwa nikiwa kijijini huko hakuna mtandao hadi nilikuwa nasahau kama nna majibu nasubiri
Wewe ni nani
 
Hujakutana na majanga ya psrs, miezi kumi hawajatoa placement hili nalo ni la kujiandaa? Waache watu watoe mapungufu yao ili taasisi iwe bora zaidi
Swala la placement sio la psrs linahusisha vitu vingi. PSRS hawalipi mishahara wala wao sio hazina. Majibu ya Oral wanaweza kuwa nayo hata siku ileile ya oral nani kapita nani kakandwa. Lakini when it comes to placement it is another issue
 
Back
Top Bottom