HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
TATIZO Wana tamaa sana, mpaka post za halmashauri Zina postiwa psrs alafu position ni 1,

Kila post wanataka kula asali ya 100k, HAta kama post ni 1, Hawaiachi ni mwendo wa kula vichwa TU Yan [emoji23].

Alafu ufanishi unakuja kuwashida ,
kwa sababu majukumu ni mengi wamejilimbikia kuliko uwezo wao wakufanya kazi.

Serikali ya Samia hili swala inabidi waliangalie kwa jiko la umakini ,
Post za Halmashauri wao hawaendeshi hizo sahili ingawa wanazitangaza kupitia website yao.

Wanazitangaza kwa sababu ya kutoa wigo mpana kwa watanzania wote kuona hizo nafasi ukinganisha na zikipostiwa kwenye website ya Halmashauri.

Hivi wewe huwa unatembelea website za Halmshauri mbalimbali kujionea matangazo yao? jibu najua ni Hapana, na huwa unatembelea PSRS sana na website za taasisi zingine.

Pia kila Halmashauri ikitoa tangazo la kazi, nakala huelekezwa PSRS ambapo wataitangaza. Nina imani PSRS hawazunguki Halmshauri ili wakaombe wapewe matangazo wayatangaze badala yake wao ndio hupelekewa hayo matangazo.

Kwa hiyo kauli yako ya kusema wanatangaza hadi Matangazo ya Halmashauri ili waweze kujizolea posho, hapo si sahihi.
 
Hizi za kinondoni zipo hadi kwenye portal
 
Kwan hapo miaka m5 nyuma walikuwa wakiwapelekea nyie ,si baada jpm ku force Kila kazi zitumwe psrs Ili kuminya mirija ya asali ,
Hapo ndipo TATIZO lilipoanzia Yan
 
Post za Halmashauri wao hawaendeshi hizo sahili ingawa wanazitangaza kupitia website yao.

Wanazitangaza kwa sababu ya kutoa wigo mpana kwa watanzania wote kuona hizo nafasi ukinganisha na zikipostiwa kwenye website ya Halmashauri.

Hivi wewe huwa unatembelea website za Halmshauri mbalimbali kujionea matangazo yao? jibu najua ni Hapana, na huwa unatembelea PSRS sana na website za taasisi zingine.

Pia kila Halmashauri ikitoa tangazo la kazi, nakala huelekezwa PSRS ambapo wataitangaza. Nina imani PSRS hawazunguki Halmshauri ili wakaombe wapewe matangazo wayatangaze badala yake wao ndio hupelekewa hayo matangazo.

Kwa hiyo kauli yako ya kusema wanatangaza hadi Matangazo ya Halmashauri ili waweze kujizolea posho, hapo si sahihi.
Sasa job post ni 1 alafu unataka vijana waitikie wito nchi nzima kazi yenyewe ni halmashauri, hivi nyinyi mbona mnapenda kujitakia matatizo
 
Hizi za kinondoni zipo hadi kwenye portal
Nyingi za Halmashauri za nafasi moja moja ni hizi za Watendaji wa Mtaa/Kijiji.

Za kinondoni ni nyingi na za mkataba wa mwaka 1 na watu wanaotafutwa ni wenye Degree zao. Hizi zinaweza kuendeshwa na PSRS na wala si zile watendaji wa Mtaa/Kijiji.

Kwa hiyo nimalizie kuwa, PSRS hawaendeshi sahili za Watendaji wa Mtaa/Kijiji ambapo matangazo yao mengi yanapostiwa pia kwenye Website yao
 
waliofanya usaili nakufaulu ila wakakosa placement awali kutokana na ushindani wapo kwenye database ya waliofaulu usaili kulingana na kanuni za psrs.

mimi ukiniuliza binafsi najuaje kuwa nipo au sipo database siwezi kukujibu maana sifaham majibu yangu ya oral. ila kwa jinsi nilivofaulu awali na jinsi nlivojibu oral nina imani kubwa nipo . selected for oral interview kwenye web na app inamaanisha ulifaulu usaili au umepata placement.

hoja yangu nikwamba Sekretarieti ya Ajira inataita watu kwenye usaili na unakuta pengine watu hao tayari walifaulu saili za nyuma kwa kada iyo iyo.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Sasa kama hujui unalaumu nini? Database haina watu wote mlifeli.
 
Sasa job post ni 1 alafu unataka vijana waitikie wito nchi nzima kazi yenyewe ni halmashauri, hivi nyinyi mbona mnapenda kujitakia matatizo
Kwa hiyo kwa mtazamo wako unaona ni sahihi nafasi 1 ya dereva wa Halmashauri(nimetolea mfano ila anaweza kuwa hata wa Shirika la Umma) kutangazwa public/nchi nzima ila si kwa Mtendaji wa Mtaa/Kijiji?
 
Back
Top Bottom