HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ili upate kazi kupitia database chakwanza lazima uwe ulifaulu oral interview, then itokee nafasi inayofanana na kada uliyokua umeomba mwanzo. Sasa kwa case ya tra kada nyingi zilibase kwenye Tax management na Custom na Hizo kazi zinapatikana tra tu, haiwezekan ufanye interview ya tax au custom alaf utokee database uwende kwenye taasisi nyingine. Hilo labda kwa kada nyingine kama madereva, IT, wanasheria n.k
Acha hiyo itakuchafua potii
 
Haha..wameniita oral kesho now nipo Dar napiga lagerr hahah
Na mimi nimeingia chamani, wakati wa Mungu ni sahihi sana! Nilienda oral kimazabe zabe maana written sikujipa hata chance ya kutoboa! Niliunga unga usafiri kurudi Dom maana nilisharudi Dsm kuendelea na udalali tu!Naliona jina langu kwenye Tume ya madini siamini amini! Miujiza ipo
 
Huu ni mkeka wa February 16, 2021 wenye majina ya SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO ambao wameonekana kwenye mkeka wa leo tena.

Hili suala la multiple placement tulishalizoea endapo sahili zimefanyika kwa kufuata ila sio kama hivi ambapo imepita miaka 2 na watu wanaendelea na kazi kama kawaida.View attachment 2559781
Mbaya zaidi taasisi ni ileile ingekuwa wameitwa kwenye taasisi nyingine tungesema kuwa wana wameamua kuomba sehemu nyingine kufata asali iliyonona
 
Na mimi nimeingia chamani, wakati wa Mungu ni sahihi sana! Nilienda oral kimazabe zabe maana written sikujipa hata chance ya kutoboa! Niliunga unga usafiri kurudi Dom maana nilisharudi Dsm kuendelea na udalali tu!Naliona jina langu kwenye Tume ya madini siamini amini! Miujiza ipo
Hongera sana mkuu kwa kubeba Mzinga wa Asali.

Kitu ukikifanyia mzaha ndio unakuta chenyewe, hizi nafasi ambazo tunajikuta tumezikatia tamaa ndio tunatoboa kimasihara sana.
 
Na mimi nimeingia chamani, wakati wa Mungu ni sahihi sana! Nilienda oral kimazabe zabe maana written sikujipa hata chance ya kutoboa! Niliunga unga usafiri kurudi Dom maana nilisharudi Dsm kuendelea na udalali tu!Naliona jina langu kwenye Tume ya madini siamini amini! Miujiza ipo
Hongera sana kiongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekula shavu kiutani sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom