HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Na mimi nimeingia chamani, wakati wa Mungu ni sahihi sana! Nilienda oral kimazabe zabe maana written sikujipa hata chance ya kutoboa! Niliunga unga usafiri kurudi Dom maana nilisharudi Dsm kuendelea na udalali tu!Naliona jina langu kwenye Tume ya madini siamini amini! Miujiza ipo
Big up mwamba...
 
Hongera Sana Mkuu
 
Tupe ushuhuda wa status mlamba asali.
 
Na mimi nimeingia chamani, wakati wa Mungu ni sahihi sana! Nilienda oral kimazabe zabe maana written sikujipa hata chance ya kutoboa! Niliunga unga usafiri kurudi Dom maana nilisharudi Dsm kuendelea na udalali tu!Naliona jina langu kwenye Tume ya madini siamini amini! Miujiza ipo

Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa Shukrani kwa hatua hyo uliyoifikia ktk maisha yko, pia usisahau kujipongeza kwani haikuwa rahisi kufika hapo.
 
Back
Top Bottom